Mkuu bahati mbaya mimi huwa mvivu kuandika, ila ukitoa cpu ya mtk mt6580 kwenye simu za hao calcare hauhitaji kuwa na dump.
Huwa natamani kutoa elimu ila linapofikia swala la kuandika nakosa cha kuandika sababu ya uvivu tu.
Mwanzo nilikuwa nina dump ila nilizifuta maana hazina msaada kwangu, kuna vitu unatakiwa kuvijua siyo kufuata mkumbo wa wahindi. Kila kampuni ya simu wana namna wanavyotengeneza simu zao cha muhimu fanya utafiti wa kina kwa kila simu.
Ukitaka kuiva kwenye tasinia hiyo tafuta material ya warusi, waarabu, na Ukraine huko siyo wajanja wajanja kama wahindi wa kutafuta viewers YouTube.