Mkuu hizo glass protector za 3D ndio zikoje nitoe ushamba kidogo0625868296
Ingia hapa utajua tofauti ya hizo protectorMkuu hizo glass protector za 3D ndio zikoje nitoe ushamba kidogo
Wewe ni dungurushi tu na mkatisha tamaa kila mahali mpoUnauza vitu kwa bei ghali..utawapata wateja wa huko huko Tanga ila wateja wa dar kuwapata ni kazi sana....
3D protector bei 3000 ila huku ni 2500
Autofocus kwako 1500 huku ni 1000
meno3 chaja kwako 3000 huku 2000
Ear fon original hizo nyeupe za samsung ziko aina mbili copy 1500 Original 3000...ila wewe unauza 2500 sjui ni zipi ulizonazo
Cover za urembo kwako 3000 huku 2500
Battery za nokia BL5 excellent original huku 4500,oraimo 4000 ni original kweli...kwako unauza 5000
Glass za kawaida kwako 700 huku 500
Punguza bei mkuuu ili upate wateja wengi...
kama utahitaji memory na flash OG nicheki nikuleteee mzigo uuze ule maisha Phone..Ukihitaji charge Original FAST CHARGER ambazo ukichomeka chaji simu haiandiki CHARGING...inaandika FAST CHARGING nicheki nikupe tufanye biashara...
Ukihitaji mzigo next time kwa Jumla uuze kwa bei nzuri nicheki...Karibu next time.
Sikukatishi tamaa na wala sitofaidika popote nikiona leo hii umeanguka..nimekushauri Tu upunguze BEI ila kama nimekosea kukushauri na umechukulia vibaya ushauri wangu umeniona kama mdungurushi kama ulivyoniiita..SAMAHANI SANA,NISAMEHE KWA KUKU KOSEA haikua nia Yangu kukuharibia mood yako.Wewe ni dungurushi tu na mkatisha tamaa kila mahali mpo
Maofisini
Kwa biashara
Mashuleni na
Mtaani
Tena wewe unauza vitu kama hivi hukupaswa kuingilia uzi wangu kikuda maana zako huwa siziingilii wala kuzisemea vibayaUnauza vitu kwa bei ghali..utawapata wateja wa huko huko Tanga ila wateja wa dar kuwapata ni kazi sana....
3D protector bei 3000 ila huku ni 2500
Autofocus kwako 1500 huku ni 1000
meno3 chaja kwako 3000 huku 2000
Ear fon original hizo nyeupe za samsung ziko aina mbili copy 1500 Original 3000...ila wewe unauza 2500 sjui ni zipi ulizonazo
Cover za urembo kwako 3000 huku 2500
Battery za nokia BL5 excellent original huku 4500,oraimo 4000 ni original kweli...kwako unauza 5000
Glass za kawaida kwako 700 huku 500
Punguza bei mkuuu ili upate wateja wengi...
kama utahitaji memory na flash OG nicheki nikuleteee mzigo uuze ule maisha Phone..Ukihitaji charge Original FAST CHARGER ambazo ukichomeka chaji simu haiandiki CHARGING...inaandika FAST CHARGING nicheki nikupe tufanye biashara...
Ukihitaji mzigo next time kwa Jumla uuze kwa bei nzuri nicheki...Karibu next time.
Tena wewe unauza vitu kama hivi hukupaswa kuingilia uzi wangu kikuda maana zako huwa siziingilii wala kuzisemea vibaya
Ni aibu sana kuwa mkatisha tamaa, basi wauzie wewe.
Wateja samahanini:
mtapata bidhaa nilizozitaja hapo kwa @pirimeter
Yeye anazo kwa bei nafuu kuliko sisi
Aweke namba tu au tembelea nyuzi zake utapata namba zake