wenzako kwanzo wananusa halafu anakwambia hii simu imepga shoti anakutajia hela ya ufundi ukisepa anachukua mafuta ya ndege sijui anaanza kusafisha kisha anapuliza na lile dude sijui linaitwa brower akimaliza akiwasha saingine inakubali
bongo mafundi simu janjajanja tu