Mafundi decoder naomba tukutane hapa

Aug 18, 2019
80
177
Kwa anaejua jinsi ya kukifanya king'amuzi cha startime kionyeshe channel zote free atupe maujuzi maana huku mtaani kwetu kuna majamaa wanapita nyumba hadi nyumba kufanya iyo kitu kwa buku teni
 
Duuh. Mkuu uko sikutafuta kesi.!?.na hao jamaa wanaofanya hiyo kazi nikutoka sehemu husika au ni wahuni tu,.!
 
Mimi nataka hiki cha Dstv Waki hack nipate free mwenye uwezo tuonane maana wamezidi kwa bei.
 
Achaneni na hizo ideas wakuu ni illegal kabisa... Ipo siku mtayakumbuka haya maneno yangu, hasa we unayehangaika na hao wa mtaani kutaka kujua wanafanyeje acha kabisa usije jutia baadae...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom