MTAtiro grandson
Member
- Aug 18, 2019
- 80
- 177
Kwa anaejua jinsi ya kukifanya king'amuzi cha startime kionyeshe channel zote free atupe maujuzi maana huku mtaani kwetu kuna majamaa wanapita nyumba hadi nyumba kufanya iyo kitu kwa buku teni
Ni wahuni tu na sio kutoka sehemu husikaDuuh. Mkuu uko sikutafuta kesi.!?.na hao jamaa wanaofanya hiyo kazi nikutoka sehemu husika au ni wahuni tu,.!