Kwa anaejua jinsi ya kukifanya king'amuzi cha startime kionyeshe channel zote free atupe maujuzi maana huku mtaani kwetu kuna majamaa wanapita nyumba hadi nyumba kufanya iyo kitu kwa buku teni
Achaneni na hizo ideas wakuu ni illegal kabisa... Ipo siku mtayakumbuka haya maneno yangu, hasa we unayehangaika na hao wa mtaani kutaka kujua wanafanyeje acha kabisa usije jutia baadae...