Mafua, homa, na jakamoyo.

Mafua, homa, na jakamoyo.

Jini Mapembe

Senior Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
106
Reaction score
71
Ukipatwa na mafua mimi napataga homa kabisa.

Inakuwepo vita ya ndani kwa ndani.

Huku tahanani kule taharuki utadhani umewavuruga nyuki.

Hapo kitulizo ni mchumbururu wa kuokwa. Chuchunge hatofaa kabisa.
 
Ukipatwa na mafua mimi napataga homa kabisa.

Inakuwepo vita ya ndani kwa ndani.

Huku tahanani kule taharuki utadhani umewavuruga nyuki.

Hapo kitulizo ni mchumbururu wa kuokwa. Chuchunge hatofaa kabisa.

Mi nimependa tu username yako.
 
Back
Top Bottom