Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Bila shaka kwa sasa una ID mpya, sio hii tena.Mbona vyama vingi tu.
Ahamie NCCR-Mageuzi awape ufufuo maana Mbatia ameshindwa kuendesha chama chake. Anaweza kubahatika ku-retain vibaraka wake akina Millya & CO LTD. Vilevile anaweza ku-retain hata jimbo lake maana akibaki CCM jina halitarudi.
umekalia ----- muwasho tu unakusumbua. Unaona Silaa(Dkt wa Ukweli) ni wa kukaa na fisadi meza Moja?
mkuu kama uliona vilee
Huyu Dingi asipokelewe CDM. Tutakuwa tumepoteza dira endapo tutafanya hivyo. Maana isije tunakemea ufisadi kwa kuwa wako ccm na wakiwa cdm ni lulu la hasha tusithubutu kutenda kosa hilo la mapokezi ya EL.
Hivi hawa wafuasi wa Chadema waliobaki huko wana akili kweli.
Mkuu Leo nimeamini JF ndio habari ya mjiniMkuu nilitaka nikupotezee umenishtua kidogo nikatae lile nililosema. Nimekomaa huku huku kwenye MABADILIKO mkuu Shy Land!!!!
Lisemwalo lipo, kama halipo laja.
Kuna tetesi kuwa baadhi ya mafisadi wana uhusiano wa karibu na uongozi wa juu wa CDM.
Nukuu ya gazeti la Raia Mwema la leo linaeleza kwa undani jinsi vikao vya mafisadi vitakavyofanyika huko Arusha Pasaka hii.
Arusha ndiko wanatoka Dr Slaa na E Lowassa, sijui kama kunauhusiano hapo!
Nape Nnauye alitonesha suala hili la uhusiano kwa mbali kati ya genge la mafisadi na CDM, wakati akituhumu kuwa kuna magezeti,chama fulani na viongozi fulani wa dini wameanza kutumiwa(taarifa za kiintelijesia?).
Jamani pesa hiyo inatembea.
Ikija thibitika CDM will have lost all credibility.
Mkuu umeona eh? Kulikuwa na red flags nyingi 2011 hatukuamini
Ila leo yote yametimia! Waliobaki ni opportunists tu! Hakuna mwanaharakati au mwenye nia dhati ya Maendeleo waliobaki Chadema!
Huyu Dingi asipokelewe CDM. Tutakuwa tumepoteza dira endapo tutafanya hivyo. Maana isije tunakemea ufisadi kwa kuwa wako ccm na wakiwa cdm ni lulu la hasha tusithubutu kutenda kosa hilo la mapokezi ya EL.
umekalia ----- muwasho tu unakusumbua. Unaona Silaa(Dkt wa Ukweli) ni wa kukaa na fisadi meza Moja?
CDM hamna siasa za undugu (Lowassa asingetajwa na Dr Slaa katika list of shame)
Na mkadiriki kumtelekeza mtu aliye na msimamo (Dkt wa ukweli) na sasa mnajitahidi kuwalaghai wanainchi "wasio wapumbavu wala malofa" kuwa mnayo nia ya dhati ya kupambana na ufisadi.
.......SHAME ON YOU.....
View attachment 299401
Salute forever.... sisi kama CDM asilia hatutasahau kukutusi wala kukudhihaki kamwe kama wafanyavyo CHD masilahi mbele, tunatambua na tutakuenzi kwa mchango wako juu ya chama chetu na tunakuhueshimu sana Dr. tunajua unajua kuwa sasa chdm imeshakuwa infected na mtandao ambao kiongozi wake sasa amegekuwa kuwa ndo kiongozi wa juu na atakalo ndilo linalofanyika. Ila tungependa ufahamu hili Dr. kuwa tunazoakili timamu kabisa na hatujasombwa na ushabiki na tunajua nini chakufanya tar25. Tunakushukuru sana kwa yote mazuri uliyo tusaidia kichama na kiuzalendo.
--------------------------------
Mungu ibariki Tanzania
Na Mungu akubariki Dr. Slaa
umekalia ----- muwasho tu unakusumbua. Unaona Silaa(Dkt wa Ukweli) ni wa kukaa na fisadi meza Moja?