britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,211
- 41,788
CHADEMA hawezi kwenda fisadi bana.
Fisadi akitoka CCM anahamia CUF NCCR, TLP au UDP bana kwani umeambiwa CHADEMA ni chama cha mikataba feki.
(CCM) wacha hizo bana fikiri hata kidogo ukipata information bana au unasemaje mkuu.
Hao MAFISADI watapitia "mlango"gani kuingia Chadema!!!?
Wajiunge wapi mkuu!! Nape keshaanza kazi huyo au huijui nafasi yake kwenye Chama?
Chadema sio kichaka cha kupokea vilaza wakujivua GAMBA...huku wanakaa wazalendo walio tayari kwa lolote ilimradi waitetee Inji yao hayo ma GAMBA hayana nafasi huku.
chadema 2nataka vichwa vyenye uwezo wa kujenga hoja na kutetea wananch, lowasa hafai cdm abak huko huko kitaeleweka
Huyu Dingi asipokelewe CDM. Tutakuwa tumepoteza dira endapo tutafanya hivyo. Maana isije tunakemea ufisadi kwa kuwa wako ccm na wakiwa cdm ni lulu la hasha tusithubutu kutenda kosa hilo la mapokezi ya EL.
We mkuu kweli uliaga kwenu!Lisemwalo lipo, kama halipo laja.
Kuna tetesi kuwa baadhi ya mafisadi wana uhusiano wa karibu na uongozi wa juu wa CHADEMA.
Nukuu ya gazeti la Raia Mwema la leo linaeleza kwa undani jinsi vikao vya mafisadi vitakavyofanyika huko Arusha Pasaka hii.
Arusha ndiko wanatoka Dr Slaa na E Lowassa, sijui kama kuna uhusiano hapo!
Nape Nnauye alitonesha suala hili la uhusiano kwa mbali kati ya genge la mafisadi na CHADEMA, wakati akituhumu kuwa kuna magezeti, chama fulani na viongozi fulani wa dini wameanza kutumiwa(taarifa za kiintelijesia?).
Jamani pesa hiyo inatembea.
Ikija thibitika CHADEMA will have lost all credibility.
============
Hii itakuwa kituko cha karne. Ni sawa na Jeshi la Marekani lilipokwenda Iraq kuwatoa Baathists na Saadam Hussein, halafu wakamkamata Saadam na kuamua kumpa nafasi ya ujenerali kwenye jeshi la Marekani huko Iraq. Huo ni wehu.
We mkuu kweli uliaga kwenu!
Post ya 2011?
Naupitia Uzi Huu Nacheka, Ulipost Hii Mwaka 2011 Umeamin?
Hii Ni Mwaka 2011 Hukujua Kama Mbowe Atapga Ela?
CHADEMA ni daladala ya kisiasa.Mbowe anawachezea akili sana wafuasi wa chadema! Haya aliyapanga tangu 2011 alikuwa anangojea muda muafaka ambao wananchi watakuwa wameshika kasi ya kiu ya mabadiliko kiasi kwamba hawasikii la muadhini wala la mnadi swala, wao ni mabadiliko tu, hapo hapo ndio akapiga hela za fisadi na kuanza kumsafisha kwa nguvu zote! Kweli wananchi wanatumika vibaya!
CHADEMA ni daladala ya kisiasa.
Aliye na pesa anaikodisha kutekeleza matakwa yake!!
Lowasa kalipa mshikokwa Mbowe na mepewa kugombea kiti cha Urais na hana cheo chochote ndani ya CHADEMA.
Baada ya 25 OCT Lowasa akisha shindwa lazima kutakuwa na ugomvi mkubwa CHADEMA maana hela yake imepotea bure.
Si tumesikia jinsi mabilioni yanavyo kata hewa kuingia akaunti ya Mbowe huko Dubai na Hongkong?