Mafisadi 38 Kutajwa

Hivi ni nini Kikwete ataongea hapa JF mumuunge mkono? Hata kama ana matatizo sawa lakini hili aliloliongea ni jambo kubwa, tusubiri matokea kabla ya kutoa hukumu. Kila mtu anatoa hukumu, wengine ohoo sijui ni dagaa tu ndio watatajwa, nk. Kwa nini tusisubiri jamani? Mnakuwaje lakini. AU kuwa sceptical ndio kutoa mchango hapa? Ukiunga mkono kwani kuna kosa gani?
 

Yale aliyoyaongea 2005 mpaka leo hajayafanyia kazi na Watanzania wote tunajua hilo! Sasa ataweza kuyafanyia kazi aliyoyaongea juzi tu hata wiki hayajamaliza!? Au aliyoahidi 2005 yameshatupwa kapuni na kuwa history!?
 
OOOps,

Thanks guys I am not Admin. Ningeshafuta topic kama hii.
 
Someone sounds like Lowassa, the borderline dictator. "Oh, No...we can't discuss Richmond in the parliament, we will look bad before donors." Next! Mh. Waziri, this is for maslahi ya taifa na inaathari kubwa sana ki uchumi. No,no,no...Next.

Ungeifuta hii kwa misingi ipi? na kwanini ungeifuta? au ndiyo demokrasia uliyojifunza Dodoma juzi? Hizi attitude za "FAUT PAS" inabidi ziishie Dodoma mzee.
 

..nimekusoma!unauma na kupuliza!

..ukweli unajulikana!...kwamba,kama jk hatarekebisha mapungufu yaliyopo kwasasa,ambayo yanazidi kukua,serikali itaweza anguka,na hii inaweza kisambaratisha chama pia!

..sasa,kila mtu ana mtazamo wake!ila,watu wanamsubiri kwa hamu kama this time ata-practice what he preaches!

..we are hoping for the best,b'se yakiharibika yatatu-affect sote!
 
Kusema kweli hotuba ya JK inatia moyo kidogo (politicaly correct) labda tu niseme kachukua muda mrefu sana kutoa hotuba kamahii.. It was necessary from day one!
kanikosha tu aliposema:-
"Hakuna kiongozi anayetajwa ambaye suala lake halifuatiliwi . Kila taarfa hufuatiliwa, iwe imetoka gazetini au katika mkutano wa dhahara au kwa ujumbe wa simu ya mkononi au kwa minong'ono na uvumi tu,"

Mheshimiwa, this is exactly tulichokuwa tukitaka toka mwanzo....leo umekuja upande wa wapinzani, kwa hiyo mwenzetu ktk mawazo tunachosubiri ni vitendo.

Binafsi nampa hongera kuweza kusimama mbele ya vigogo wote bila kumwacha mtu... na kutokana hna habri nilizopata watu walikuwa wakitupiana macho na kucheka kichina china (yaani roho zinawadunda).
 
“Hakuna kiongozi anayetajwa ambaye suala lake halifuatiliwi . Kila taarfa hufuatiliwa, iwe imetoka gazetini au katika mkutano wa dhahara au kwa ujumbe wa simu ya mkononi au kwa minong’ono na uvumi tu,”

..kauli hii naiangalia na kuisoma kwa machungu na matamu!

..kufuatilia ni lazima!ila,una-act vipi baada ya kufuatilia ndio huwa suala muhimu zaidi!

..ngoja nikalage bao!
 

Kwasababu hatuna majina hayo 38 YET!!!!.
 

ndio maana nilisema before kwamba hakuna JK analofanya likawa zuri kwa hawa watu ! Yaani kila kitu kibaya kwao, ni kweli JK anakosea, lakini basi kwa nini tusisubiri na kuona outcomes ?
 
Aleluia! Nazisubiri siku hizo kwa shauku kuu. Naamini haitakuwa 2010.




vipi yule wa ROME ITALY anaitwaje ki Gumu atakuwepo ktk list ni wa kule ubitoke ndo ntajua kweli inogile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…