hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,250
- 26,639
Leo huko mafia kwenye uislamu 99.99% Mwalimu wa MADRASA kabaka na kulawiti watoto 15
Haya matukio ni mengi sana
Je Tuseme ndio uislam?
Binafsi nilishaamua mwanangu nitampa elimu ya Mungu nyumbani kwangu ,nashukuru Mungu kwasasa anayeendesha ibada ya asubuhi na jioni na kuombea chakula ni binti yangu wa miaka mitatu na nusu tu
Malezi na elimu ya Kiroho inaanzia Nyumbani,
Kanisa linaanzia Nyumbani
Tunaishi kwenye kizazi kibaya sana ,hutakiwi kumuamini mtu akutengenezee mtoto wako
Mtoto akitoka shule fatilia nini kimejiri huko shuleni
Wazazi tuwe makini sana kwenye malezi
Bila kusahau matuio kibao ya hapa hapa Nchini...
Tutenge dini na watu wanaochafua dini... Otherwise kila upande una taarifa mbaya sana za upande wa pili..