NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,764
- 4,947
Mwakinyo alishatolea maelezo ya hilo.mwakinyo alisemaga one time viatu vinateleza....
tuambie hapo imekaaje mchambuzi
Mwakinyo alishatolea maelezo ya hilo.mwakinyo alisemaga one time viatu vinateleza....
tuambie hapo imekaaje mchambuzi
bondia na mfumo wapi na wapi, bondia wengi hali zao wanazijua wenyewesure....
yaani tena kwa sasa kama upo nje ha mfumo sahau
Kwan umepigwa ww?Watu wanapigana na nyie mnafurahia
Watu ni watu tuKwan umepigwa ww?
Ww umeona hapo kuna tatizo gnWatu ni watu tu
Watu wakiuana ni sawa?Ww umeona hapo kuna tatizo gn
Wapo kazini.Watu wakiuana ni sawa?
Mwakinyo siku hizi kawa kama mwanasiasa, maneno mengi vitendo zeroHassan Mwakinyo yupo mbele ya muda.
Mafia wameshusha kiwango cha Assemahle Wellem.Hance Mtanashati njoo uone wanao wa Mafia.
Jamaa anapigika sana siku hizi.Mafia wameshusha kiwango cha Assemahle Wellem.
duh mafia wamefanya mi nimeichukia ngumMafia wameshusha kiwango cha Assemahle Wellem.
Kaka kumbe upo?💪💪Jamaa anapigika sana siku hizi.
Nipo kaka harakati vipi?Kaka kumbe upo?💪💪
Amekuwa ndizi siku hizi.Jamaa anapigika sana siku hizi.