Mafao ya Mawaziri ni shilingi ngapi?

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
7,323
6,810
Jamani naomba msaada, kuna kitu naandaa hapa nahitaji msaada kwa yeyote mwenye taarifa sahihi.....
Hivi mafao ya mawaziri waliomaliza muda wao(au yaani baada ya miaka mitano hawakuchaguliwa tena hivyo uwaziri wao ukakoma...mfano-Mh Masha na Joel Bendera)
Hawa wanalipwa mafao ya jumla shilingi ngapi? please wadau!!...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom