mojoki
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 1,313
- 291
Wadau ningependa kufahamu
Kama muajiri kakakuachisha kazi kwa sababu kama Cost reduction stratergy, Je unastahili mafao gani
Note:
Sio kufukuzwa kazi ni kupunguzwa kutokana na gharama kubwa za kuendesha ofisi kuliko mapato, Assume mahahara wa mwezi ni 900,000 na umefanya kazi kwa miaka 5.
I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.