Mafanikio yasikupe kiburi na jeuri

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
May 13, 2018
439
742
Wakati Majaliwa akiwa DC Rufiji, alikua anaripoti kwa RC Pwani Magesa Mulongo na Waziri wa TAMISEMI Stephen Wassira. Leo wote wawili hawapo tena serikalini.

Majaliwa alipoteuliwa Naibu Waziri TAMISEMI alikua anaripoti kwa Kepteni George Mkuchika. Leo mzee Mkuchika ndiye anayeripoti kwa Majaliwa.

Maisha ni mzunguko. Ukifanikiwa usijae kiburi ukadhani ndio mwisho wa safari. Al-Bashir alikua na madaraka makubwa na pesa nyingi. Lakini leo ni mfungwa. Anakula, kulala na kuamka kwa amri. Hana tena hiyari ya maisha yake.

Na pia ukikosa leo usikate tamaa ukadhani Mungu amekuacha. Bado lipo tumaini. Anayekudharau kwa sababu ni 'Housegirl' kesho unaweza kuolewa na Rais ukawa First Lady na akakuheshimu.

Wana wa Israel walipowekwa mateka kule Babeli, Esta na mjomba wake Mordekai walikua watumwa. Esta akachukuliwa na Hegai kuwa kijakazi kwenye nyumba ya Mfalme.

Hegai alikua kama 'Afisa Utumishi' kwenye kasri la mfalme Ahasuero. Vijakazi wote wa mfalme waliripoti kwake akiwemo Esta. Lakini baadae Esta akawa Malkia, na Hegai akawa anaripoti kwa Esta. Life is circle.

Hakuna aliyejua kiongozi mwenye ulinzi mkubwa na fedha nyingi kama Gadafi siku moja angeweza kujificha kwenye mtaro wa maji taka kama mwizi wa kuku wa Gongo la Mboto.

Usijivune kwa kufanikiwa leo, na usivunjike moyo kwa kufeli leo. Winston Churchill aliwahi kusema "Success is not final, and failure is not fatal. It is the courage to continue that counts"

siku njema kwako.

FB_IMG_1553166695624.jpeg
 
Amen

siku njema kwako.View attachment 1196652
 
Tatizo lipo kwenye katiba. Wanataka wawe Miungu mtu, ndo maana hawaguzi kubadiri vipengele vya kumpunguzia madaraka mhusika. Anataka madaraka zaidi, kama vile kuwa mbunge, IGP, DPP, yaani anatamani pia kuwa jaji.
Kwa sababu hawana hekima, madara waliyonayo bado hayawatoshi. Ulevi wa madaraka.
 
Wakati Majaliwa akiwa DC Rufiji, alikua anaripoti kwa RC Pwani Magesa Mulongo na Waziri wa TAMISEMI Stephen Wassira. Leo wote wawili hawapo tena serikalini.

Majaliwa alipoteuliwa Naibu Waziri TAMISEMI alikua anaripoti kwa Kepteni George Mkuchika. Leo mzee Mkuchika ndiye anayeripoti kwa Majaliwa.

Maisha ni mzunguko. Ukifanikiwa usijae kiburi ukadhani ndio mwisho wa safari. Al-Bashir alikua na madaraka makubwa na pesa nyingi. Lakini leo ni mfungwa. Anakula, kulala na kuamka kwa amri. Hana tena hiyari ya maisha yake.

Na pia ukikosa leo usikate tamaa ukadhani Mungu amekuacha. Bado lipo tumaini. Anayekudharau kwa sababu ni 'Housegirl' kesho unaweza kuolewa na Rais ukawa First Lady na akakuheshimu.

Wana wa Israel walipowekwa mateka kule Babeli, Esta na mjomba wake Mordekai walikua watumwa. Esta akachukuliwa na Hegai kuwa kijakazi kwenye nyumba ya Mfalme.

Hegai alikua kama 'Afisa Utumishi' kwenye kasri la mfalme Ahasuero. Vijakazi wote wa mfalme waliripoti kwake akiwemo Esta. Lakini baadae Esta akawa Malkia, na Hegai akawa anaripoti kwa Esta. Life is circle.

Hakuna aliyejua kiongozi mwenye ulinzi mkubwa na fedha nyingi kama Gadafi siku moja angeweza kujificha kwenye mtaro wa maji taka kama mwizi wa kuku wa Gongo la Mboto.

Usijivune kwa kufanikiwa leo, na usivunjike moyo kwa kufeli leo. Winston Churchill aliwahi kusema "Success is not final, and failure is not fatal. It is the courage to continue that counts"

siku njema kwako.
Hili dongo kwa watu aina ya Bashite
 
Back
Top Bottom