Mafanikio ya Uganga yapo?

Mafanikio ya Uganga yapo?

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,294
Nasikisia sana hizi habari fulani kawapata utajiri sababu ya majini n.k. Je, ni kweli hizi mambo zipo na kama zipo unazipataje?
 
Nasikisia sana hizi habari fulani kawapata utajiri sababu ya majini n.k

Je ni kweli hizi mambo zipo na kama zipo unazipataje ?
Wanasiasa wakuje huku watujibu maana ndio wanaoongoza kuhudhuria kwa sangoma hasa nyakati hizi za uchaguzi.
 
Nenda ngende wewe acha ulofa. Utahangaika na maisha mpaka lini?
Unasoma kwa shida, mshahara unaupata kwa shiida, na kujenga unajenga kwa shiida.
Ngende utajiri ni 200%, no kumwaga damu, ni masharti tu uyazingatie
Ndio wapi huko
 
Mbona watu walio karibu na hapo Ni masikini wa kutupwa?? Akili ya kuambiwa changanya na umbea
 
Mbona watu walio karibu na hapo Ni masikini wa kutupwa?? Akili ya kuambiwa changanya na umbea
Hapo ndio ninapochakaga mtu anakwambia ka biashara zako haziendi twenda kwa mtaalamu jiongeze wajati ye mwenyewe choka mbaya
 
Back
Top Bottom