Mafanikio ya Stephen Julius Masele, Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini

Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
3,596
2,000
Ngokolo ipi?? Masele alikuja shinyanga hana nyumba...

Alipewa nyumba ya Padre Dastan Sitta,ipo Ndembezi,karibu na dereva mstaafu wa Mkuu wa Mkoa Mzee Malale..

Namfahamu Masele,kanifundisha Secondary,alinitafutia kazi tiGO,alitutafutia kazi mgodini mimi na Patrick mdogo wake na Padre Dastan Sitta.... Hata kwao Ukenyenge sijui kama Kajenga....
Nyumbani kwake ni Ngokolo ambapo hata njia ya kuchepuka kuingia nyumbani kwake ni mashimbo kashindwa hata kuweka karavati

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sukumagang

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
20,124
2,000
Ngokolo ipi?? Masele alikuja shinyanga hana nyumba...

Alipewa nyumba ya Padre Dastan Sitta,ipo Ndembezi,karibu na dereva mstaafu wa Mkuu wa Mkoa Mzee Malale..

Namfahamu Masele,kanifundisha Secondary,alinitafutia kazi tiGO,alitutafutia kazi mgodini mimi na Patrick mdogo wake na Padre Dastan Sitta.... Hata kwao Ukenyenge sijui kama Kajenga....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia najiuliza Ngokolo ipi ? Labda majengo mapya.Masele hafai kuwa mbunge. Inshort Shinyanga town haijawahi patia kabisa kwenye wabunge. Anzia Mfaume,Makune,Mwana Derefa,yule aliyekuwa naibu waziri kilimo hadi jina nimemsahau. Masele pia uozo mtupu.
 
Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
3,596
2,000
Dr Mlingwa.... Shinyanga hapajawahi kua na Mbunge wa maana,zaidi yawapiga deals tu... Pale alifaa kushika mtu kama Shirembi
Mimi pia najiuliza Ngokolo ipi ? Labda majengo mapya.Masele hafai kuwa mbunge. Inshort Shinyanga town haijawahi patia kabisa kwenye wabunge. Anzia Mfaume,Makune,Mwana Derefa,yule aliyekuwa naibu waziri kilimo hadi jina nimemsahau. Masele pia uozo mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,660
2,000
..Masele hana chake hapo.

..Petrobas Katambi ndiyo mgombea wa ccm 2020.

Patrobas Katambi of all the people…??Never ever! Huyu ni malaya tu wa kisiasa…anayehongeka kirahisi sana!! Hatutaki wana siasa vigeugeu ktk nji hii!
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,660
2,000
Safari hii hatiboi kwanza ana bifu na spika wa mabifu
Pili uchaguzi uluipita alibebwa safaru hii mziki ni mkali kwanza sisi kama Chadema lazima tulitwae jimbo kwa udi na uvumba

Well said!
GE~2015 CHADEMA walichukua ushindi isingelikuwa CCM kupindua meza kwa msaada wa NEC na TISS!
Kinachotakiwa pale SHY ni kubadilisha Uongozi kwa maana ya kuchagua chama mbadala ambacho ni CHADEMA.
CCM kwa miaka zaidi ya 50 hawawezi kuleta mabadiliko tena! Mgodi wa MWADUI uko some few kms from Shinyanga town lakini "Almas za Mwadui" hazijaweza kuleta impact au mabadiliko yoyote kwa Wasukuma hawa maskin!
 
Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
15,623
2,000
*MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU JIMBO LA SHINYANGA MJINI (PARIS YA TANZANIA)JIMBO LA MH. STEPHEN MASELE(MB)*

Jimbo la shinyanga mjini ama PARIS YA TANZANIA kama linavyojulikana na wenyeji wa mji huo ni moja ya mji wenye maendeleo ya mwendokasi chini ya uongozi wa mbunge kijana wa jimbo hilo Mh Stephen Julius Masele maarufu kama PUTIN ambavyo wananchi wake wamembatiza kwa ukimya wake wenye kishindo wakimfananisha na Vladimir Putin Rais wa Urusi. Masele ambaye Pia ni Naibu Spika wa Bunge la Afrika( PAP). Tujikumbushe shinyanga ya kabla ya Masele na shinyanga ya sasa chini ya Masele:-

Shinyanga kabla ya Masele:-

1. Barabara ya lami moja tu kutokea stesheni ya treni kwenda kuelekea Japanese kona.

2.Maji ya visima yenye rangi kama chai ya maziwa.

3. Hospitali moja tu ya mkoani hapakuwa na vituo vya afya na zahanati za kata.

4. Hapakuwa na shule ya SEKONDARI kidato Cha tano na sita na ufaulu ulikuwa chini sana.

5. Umeme ulikuwa mjini kati tu. Mji ulikuwa hauna mvuto ukilinganisha na sasa.

Shinyanga ya Masele(Paris ya Tanzania):-

1. Mitaa imepimwa na kupangwa, nyumba nzuri na makazi bora.

2. Mtandao wa Barabara nzuri za lami zinazopitika na zenye taa za barabarani wakati wa usiku.Leo hadi ndala kuna lami....sikuwahi kufikiria lami itafika upongoji.

3. Maji ya zima Victoria vijiji na mitaa yote

4. UMEME mitaa na vijijini.

5. Zahanati na vituo vya afya vyenye ubora wa huduma haswa kwa kina mama, wazee na watoto. Hospitali mpya ya rufaa Negezi,kituo Cha afya Cha kisasa Kambarage na kinajengwa kingine Ndembezi.

6. Shule za kata zenye ubora Shycom iliyoboreshwa, Uhuru iliyoboreshwa, Mwasele, Old Shinyanga, Ibadakuli kwa uchache.

7.Kituo bora cha kulea wazee wasiojiweza Kolandoto.

8. Kituo bora cha watoto wenye mahitaji maalumu(Albinos) Ibinzamata.

9. Makazi bora ya wananchi na nyumba za kisasa kwa wananchi na watumishi wa umma.

10. Watu wazuri wenye afya, Kumbi bora za Starehe na viwanja vya burudani.

Hakika mwenye macho haambiwi tazama, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Masele tumeona na tumeridhishwa na utendaji kazi wako.Hii ni kasi ya 5G ya maendeleo kutoka kwa mbunge kijana, msomi na mpenda maendeleo. Aluta kontinua Komredi Stephen Masele mbunge wa shinyanga mjini. Bado tunakuhitaji usikatishwe tamaa na wasaka tonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyo Mbunge Anatoa wapi fedha za kugharamia miradi yote au anakusanya kodi au bilionea.

Ebu punguzeni upumbavu.
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
9,279

Hizi promo bana!

Dat nigga Masele’s lame!
 
Mr. Hussein Juma

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
737
1,000

Yaani nimetamani sana nikutukane baada ya kusoma huu ushenzi wako. Mimi ni mkazi wa Shinyanga. Umeandika ushenzi wa kutamanisha matusi. Nimejizuia sana.
 
MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
1,811

Tumekusikia mh mbunge
 
kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,639
2,000
Kuna kitu nakiona tofauti sana Shinyanga.Na hii kama sio hofu ya Mh.Rais na serikali yake,nakiri nisingeona taa za barabarani katika mitaa ya shinyanga.

Shinyanga kwa miaka mingi huko nyuma ilikuwa shamba la bibi.Ijapokuwa hata leo hii bado wananchi wana hamu kumuona Rais au Waziri mkuu akitembelea Shinyanga.
Inasemekana kuna watumishi wazawa ni mafundi kwa ndumba kiasi cha kuzuia ziara za viongozi wakubwa.Hii ni kutokana na hofu ya kushughulikiwa kutokana na wizi mkubwa walioufanya huko nyuma.

Angalia tu stand mpya ilivyojengwa.Ila ukiambiwa gharama zilizotumika unaweza kuzimia.

Ila kweli hatuna budi kumshukuru mh.Rais kuna tofauti tunaiona sasa hivi Shinyanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom