Mafanikio ya Stephen Julius Masele, Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini

*MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU JIMBO LA SHINYANGA MJINI (PARIS YA TANZANIA)JIMBO LA MH. STEPHEN MASELE(MB)*

Jimbo la shinyanga mjini ni moja ya mji wenye maendeleo ya mwendokasi chini ya uongozi wa mbunge kijana wa jimbo hilo Mh Stephen Julius Masele ambaye Pia ni Naibu Spika wa Bunge la Afrika( PAP).
Hakika mwenye macho haambiwi tazama, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Masele tumeona na tumeridhishwa na utendaji kazi wako.Hii ni kasi ya 5G ya maendeleo kutoka kwa mbunge kijana, msomi na mpenda maendeleo. Aluta kontinua Komredi Stephen Masele mbunge wa shinyanga mjini. Bado tunakuhitaji usikatishwe tamaa na wasaka tonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Morgan, kwanza naunga mkono hoja kuwa Masele amefanya kazi nzuri na Wanashinyanga bado wanamuhitaji hivyo asikatishwe tamaa na wasaka tonge, hata mimi binafsi Masele namkubali sana na niliwahi kumfagilia hapa

Lakini kwa vile hakuna hatimiliki ya jimbo lolote, wala hakuna mtu kuhodhi jimbo lolote, jambo la kwanza namshauri Masele, atengeneze 30 min video Documentary ya hayo mambo 10 uliyo eleza yawe kwenye Audio Visual, watu waone na wasikie. Kisha video hiyo irushwe kwenye TBC, ITV, Star TV, Channel Ten, na Azam TV kisha DVD zisambazwe zikiandamana na flash ya HD zigawiwe bure baa zote, hotels zote, saloons zote, sehemu zote za public na za starehe ili watu waone kilichofanyika.

Lengo la kufanya haya ni kitendo cha Masele kuonekana mwiba kwa bosi wake pale mjengoni Dodoma, na bosi wake na Mzee Baba ni dam dam hivyo it's possible no matter how good Masele is, hatapitishwa na chama chake, hivyo asipopitishwa, avuke upande wa pili, wananchi wake wamchague aendelee nao.

P
 
Mbunge hana bajeti ya kufanya yote hayo...hata mfuko wa jimbo hauwezi kufua dafu...!!! Hayo yote yamefanywa na serikali ya awamu ya tano ya Tanzania iliyochini ya Chama cha Mapinduzi. Ni chama hiki Mh. Masele ni mwakilishi wa watanzania waishio jimbo la Shinyanga.
 
Mkuu Morgan, kwanza naunga mkono hoja kuwa Masele amefanya kazi nzuri na Wanashinyanga bado wanamuhitaji hivyo asikatishwe tamaa na wasaka tonge, hata mimi binafsi Masele namkubali sana na niliwahi kumfagilia hapa

Lakini kwa vile hakuna hatimiliki ya jimbo lolote, wala hakuna mtu kuhodhi jimbo lolote, jambo la kwanza namshauri Masele, atengeneze 30 min video Documentary ya hayo mambo 10 uliyo eleza yawe kwenye Audio Visual, watu waone na wasikie. Kisha video hiyo irushwe kwenye TBC, ITV, Star TV, Channel Ten, na Azam TV kisha DVD zisambazwe zikiandamana na flash ya HD zigawiwe bure baa zote, hotels zote, saloons zote, sehemu zote za public na za starehe ili watu waone kilichofanyika.

Lengo la kufanya haya ni kitendo cha Masele kuonekana mwiba kwa bosi wake pale mjengoni Dodoma, na bosi wake na Mzee Baba ni dam dam hivyo it's possible no matter how good Masele is, hatapitishwa na chama chake, hivyo asipopitishwa, avuke upande wa pili, wananchi wake wamchague aendelee nao.

P
Mmmhhh..umemshauri vizuri Sana ... tatizo ni pale atakapokubali kuufanyia KAZI ushauri wako...atakuwa anathibitisha utata/conspiracy inayomkabili na alternative atakayoichukua...SASA sijui reaction itakuaje!?
 
Mkuu kuna mengine ni chai bahati nzuri shy town nimekaa na ninapafahamu mfano hicho kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu albino hiki kipo kitambo sana chini ya wakatoliki ndiyo wanaokihudumia siku zote, maji ya ziwa victoria ulikuja kabla yake na unasimamiwa na Kashwasa, mpango wa kupanga makazi nao ulianza zamani maana nakumbuka nyumba tuliyokuwa tunaishi mitaa ya stand karibu na ofisi za zamani za Mohd trans kulikuwa na ukuta tukaambiwa tuuvunje ili njia ipite nk

Japo sibezi maendeleo ya sasa kwa kiasi chake wakishirikiana na viongozi wengine wamefanya kitu kuiboresha shy town siku moja nitarudi tena kupacheck ila ubunge wake nao ni wa shida maana ulidhulumu haki mpk mauti ya yule mgombea mwenzake wa chadema
 
Hivi kwa Shy,nyumbani kwake ni eneo gani?ili tujue kama ni mwananzengo mwenzetu.
 
Nyambafu,hivi ulishawahi fika Paris au unaisikia tu ? Shinyanga kuna metro,tram,train?.Uliambiwa Paris kuna shule za primary hazina canteen ? Yaani Masele hajafanya lolote. Mwambie aendelee kuloga .Shelembi ndo alitakiwa awe mbunge wa Shy town. Masele akakatiza maisha ya Shelembi. 2020 Masele Out.
 
Masele hajafanya chochote nakuunga mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU JIMBO LA SHINYANGA MJINI (PARIS YA TANZANIA)JIMBO LA MH. STEPHEN MASELE(MB)*

Jimbo la shinyanga mjini ama PARIS YA TANZANIA kama linavyojulikana na wenyeji wa mji huo ni moja ya mji wenye maendeleo ya mwendokasi chini ya uongozi wa mbunge kijana wa jimbo hilo Mh Stephen Julius Masele maarufu kama PUTIN ambavyo wananchi wake wamembatiza kwa ukimya wake wenye kishindo wakimfananisha na Vladimir Putin Rais wa Urusi. Masele ambaye Pia ni Naibu Spika wa Bunge la Afrika( PAP). Tujikumbushe shinyanga ya kabla ya Masele na shinyanga ya sasa chini ya Masele:-

Shinyanga kabla ya Masele:-

1. Barabara ya lami moja tu kutokea stesheni ya treni kwenda kuelekea Japanese kona.

2.Maji ya visima yenye rangi kama chai ya maziwa.

3. Hospitali moja tu ya mkoani hapakuwa na vituo vya afya na zahanati za kata.

4. Hapakuwa na shule ya SEKONDARI kidato Cha tano na sita na ufaulu ulikuwa chini sana.

5. Umeme ulikuwa mjini kati tu. Mji ulikuwa hauna mvuto ukilinganisha na sasa.

Shinyanga ya Masele(Paris ya Tanzania):-

1. Mitaa imepimwa na kupangwa, nyumba nzuri na makazi bora.

2. Mtandao wa Barabara nzuri za lami zinazopitika na zenye taa za barabarani wakati wa usiku.Leo hadi ndala kuna lami....sikuwahi kufikiria lami itafika upongoji.

3. Maji ya zima Victoria vijiji na mitaa yote

4. UMEME mitaa na vijijini.

5. Zahanati na vituo vya afya vyenye ubora wa huduma haswa kwa kina mama, wazee na watoto. Hospitali mpya ya rufaa Negezi,kituo Cha afya Cha kisasa Kambarage na kinajengwa kingine Ndembezi.

6. Shule za kata zenye ubora Shycom iliyoboreshwa, Uhuru iliyoboreshwa, Mwasele, Old Shinyanga, Ibadakuli kwa uchache.

7.Kituo bora cha kulea wazee wasiojiweza Kolandoto.

8. Kituo bora cha watoto wenye mahitaji maalumu(Albinos) Ibinzamata.

9. Makazi bora ya wananchi na nyumba za kisasa kwa wananchi na watumishi wa umma.

10. Watu wazuri wenye afya, Kumbi bora za Starehe na viwanja vya burudani.

Hakika mwenye macho haambiwi tazama, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Masele tumeona na tumeridhishwa na utendaji kazi wako.Hii ni kasi ya 5G ya maendeleo kutoka kwa mbunge kijana, msomi na mpenda maendeleo. Aluta kontinua Komredi Stephen Masele mbunge wa shinyanga mjini. Bado tunakuhitaji usikatishwe tamaa na wasaka tonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekula mavi gani wewe, umeme vijijini ni mradi wa REA siyo wa Masele, ujenzi wa zahanati na vituo vya afya ni miradi ya nchi nzima, hospitali ya Kolandoto ni bora siku zote hata kabla ya Masele kuwa mbunge, maji ya bomba kayakuta ambao ni mradi ulioanzishwa na Lowassa kipindi akiwa Waziri wa maji, mradi wa maji toka ziwa Victoria kwenda miji ya kahama na shinyanga, vijiji yanakopita mabomba hayo pia vilinufaika kama vile Mwantini, Nindo, Lyabusalu, Lyabukande na kwingineko. Hizo nyumba bora za makazi kwani kajenga yeye? Sehemu yenye unafuu wa starehe shinyanga ni moja tu level 04 kwani ni ya kwake? Mwambie Masele kwamba wana JF wamekupinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom