Ww historia yko ya mojamoja kwa moja imekusaidiaje??.Hii historia ya huyu jamaa ni ya kisanii sanii sana, hata hivyo kwenye maisha ukijikomba komba na kufuta viatu vya wakubwa kwa akili utafanikiwa sana
We mbona una kihere here sana, kwaiyo umekuja kupinga maoni yetu au ? Kwa taarifa yako tu historia yangu ya moja kwa moja imenisaidia kuto tiliwa shaka kwa kila ninachokifanya, mimi sio kama huyo Daudi wakoWw historia yko ya mojamoja kwa moja imekusaidiaje??.
Watanzani tumejaa unafiki sana historia haimati kinacho takiwa ni matokeo.
Kumbe wewe mpuuzi.Kumpima mkojo mtu ili umbaini kama anatumia madawa ya kulevya ni tendo la kijinga zaidi lililowahi kufanywa na wanaojiita wapambanaji wa dawa za kulevya.Tuna lundo la vijana nchi nzima waliogeuka mazezeta kutokana na matumizi ya dawa hizo,mbona wenyewe hawakusanywi na kupelekwa kwa mkemia mkuu?
Hivi mtu akitumia dawa hizo(Manji)kwa starehe zake mwenyewe huku akimudau kuendesha biashara zake na kuajili mamia ya watanzania katika kampuni zake,sisi kama Taifa tunapungukiwa na nini?
Ni afadhari tungemng'ang'ania muuzaji kwa kigezo cha kuharibu vijana wetu,unamfungulia kesi mtumiaji!Sasa kama ni hivyo mbona watumiaji ni wengi na hakuna juhudi zozote za kuwakamata na kuwafungulia kesi?
Bado naamini kuna watu serikali ina visasi nao na umeamua kutumia dawa za kulevya kama mjeredi wa kuwasurubia,huku ikiwaacha wauzaji ambao wengi ni wafadhiri wa chama na serikali wakiendelea kuua vijana wetu.
mbona hizi linki zako hazifunguki mkuu?
Acha maneno lete historia yako tuangalie na matunda yake.. watu mnakaria unafiki tu na husudaWe mbona una kihere here sana, kwaiyo umekuja kupinga maoni yetu au ? Kwa taarifa yako tu historia yangu ya moja kwa moja imenisaidia kuto tiliwa shaka kwa kila ninachokifanya, mimi sio kama huyo Daudi wako
Wanabodi,
Ukiisikia simulizi ya Makonda, alipotoka, alipo na anapokwenda, mtakubaliana na mimi kuwa hii ni kazi ya Mungu katika kuonyesha uwezo wake kwa wanadamu kwa kuufanya muujiza wa Jiwe Walilolikataa Waashi, Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni.
Kwa kuanzia, wasikilize wazazi wake.
Sasa msikilizeni Makonda mwenyewe.
Historia Yake Kuzaliwa na Familia
Makonda alizaliwa Februari 15, 1982 majira ya saa 1:30 asubuhi, familia ya mzee Makonda (Baba hatajwi majina) na mkewe, Suzan, walimkaribisha mtoto wao pekee wa kiume katika Zahanati ya Kolomije, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.
Elimu ya Msingi, Sekondari na Chuo.
Makonda ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Kabla ya kwenda Moshi, alipita katika Shule ya Msingi Kolomije na amesoma pia katika Chuo cha Uvuvi, Mbegani, Bagamoyo ambako alisoma hadi ngazi ya Diploma katika masuala ya uvuvi.Hakuna maelezo alisoma wapi Sekondari wala hakuna index number yoyote ya Necta yenye majina yake.
Kabla ya Chuo.
Makonda alianzia kazi ya kuchimba mchanga.
Akaja kazi ya kuchoma mkaa.
Akawa utingo kwenye mabasi stendi
Kisha akawa kondakta yaani Makonda akawa konda.
Ukiwa ni mpakwa mafuta kama Daudi, Mungu atakuinua kutoka chini ulipo na kukupandisha mahali pa juu palipo inuka.
Mibaraka.
Mibaraka kwa Makonda ilianzia siku yake ya kuzaliwa February 15, mwaka 2015 Rais Jakaya Kikwete alipomteua Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na kutangazwa Februari 18, mwaka 2015. Kuteuliwa siku yako ya kuzaliwa sio coincidence bali ni mipango ya Mungu.
Kufuatia utendaji uliotukuka, sisi wenye jicho la tatu Machi 12, 2016 tukamtabiria makubwa kwa kuandika humu jf Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam. Na kweli ikatokea Machi 13, 2016 akateuliwa RC DSM.
Mibaraka Zaidi.
Hii ni kazi ya mikono yake kwa baraka za Bwana. (Not necessarily ni kweli)
Inasemekana Mungu amemuwezesha
Makonda kununua jengo (apartment), pale Viva Towers kwa Sh600 milioni. Makonda amempa mke wake gari aina ya Mercedes Benz lenye thamani ya Dola 250,000 za Marekani (Sh550 milioni) kama zawadi ya ‘Birthday’,”
Makonda ana gari aina ya Lexus, lenye thamani ya Sh400 milioni. Makonda anamiliki magari mengine ya kifahari aina ya V8, anajenga maghorofa jijini Mwanza na amekarabati ofisi yake kwa Sh400 milioni zake binafsi.
Japo there is something missing ambayo ni a missing link kwenye story ya Makonda ambayo wazazi hawajaisema, Makonda mwenyewe hajaisema, wala sijaisikia ikisemwa popote, kuhusu elimu ya Sekondari, the bottom line ni the end justify the means.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Paskali
Pasco, stupidity at your best, rudi Marekani ukafanye vibarua naona njaa inataka kukua, kila kukicha ni kujipendekeza Kwa watawala, na unaandika ujinga mtupu.
Hivi ni Mungu gani anayeweza kumwinua Makonda ?labda mungu Shetani, unadhani kila aliye juu kainuliwa na Mungu?
Pasco wewe ni mtu mzima hovyo na kila leo unajidhihirisha ni kiasi gani hujitambui hata kidogo.
Hata Hitler, Saddam, Hissen Habre na Madikteta wengine na Viongozi wengine wana historia nzuri ya kupanda kimaisha Kama Makonda au zaidi pia.
Shetani ana watu wake na Mungu pia ana watu wake.
Mtu aliyeinuliwa na Mungu, very automatically 90% ya watu ktk taifa humkubali wala huwa hapambwi na waandishi uchwara Kama wewe kaka yangu pasco.
Nyie wasukuma sijui mna matatizo gani, kuna mwenzako Shigongo na yeye kila Siku ni kusifia ccm tu, Naamini Siku Chadema ikishika nchi atageuka kujipendekeza huko tena.
Pasco unakera Sana Kaka yangu unafanana Kama mtu primitive ambaye hajawahi ku explore dunia, Ukamdhalilisha Mungu eti kamwinua Makonda, Makonda huyu huyu aliyempiga Mzee warioba ili kufurahisha wakuu Wake ndipo wakamzawadia ukuu wa wilaya...
Pasco achana na Mungu kabisa, MUNGU hachangamani na dhambi, just imagine uzae Mtoto halafu umwite Makonda, sijui itakuwaje mitaani.
Kama maisha yamekushinda bongo, nakushauri urudi USA ulikokuwa, huko afadhali kuna fursa hata za vibarua vya kukuingizia hata $40 per day uta survive kuliko kupamba watu wasiokubalika na jamii inayowazunguka,you expose yourself into shame.
Usipanik brother soma upya utaelewa Pascal kamaanisha nini.Pasco, stupidity at your best, rudi Marekani ukafanye vibarua naona njaa inataka kukua, kila kukicha ni kujipendekeza Kwa watawala, na unaandika ujinga mtupu.
Hivi ni Mungu gani anayeweza kumwinua Makonda ?labda mungu Shetani, unadhani kila aliye juu kainuliwa na Mungu?
Pasco wewe ni mtu mzima hovyo na kila leo unajidhihirisha ni kiasi gani hujitambui hata kidogo.
Hata Hitler, Saddam, Hissen Habre na Madikteta wengine na Viongozi wengine wana historia nzuri ya kupanda kimaisha Kama Makonda au zaidi pia.
Shetani ana watu wake na Mungu pia ana watu wake.
Mtu aliyeinuliwa na Mungu, very automatically 90% ya watu ktk taifa humkubali wala huwa hapambwi na waandishi uchwara Kama wewe kaka yangu pasco.
Nyie wasukuma sijui mna matatizo gani, kuna mwenzako Shigongo na yeye kila Siku ni kusifia ccm tu, Naamini Siku Chadema ikishika nchi atageuka kujipendekeza huko tena.
Pasco unakera Sana Kaka yangu unafanana Kama mtu primitive ambaye hajawahi ku explore dunia, Ukamdhalilisha Mungu eti kamwinua Makonda, Makonda huyu huyu aliyempiga Mzee warioba ili kufurahisha wakuu Wake ndipo wakamzawadia ukuu wa wilaya...
Pasco achana na Mungu kabisa, MUNGU hachangamani na dhambi, just imagine uzae Mtoto halafu umwite Makonda, sijui itakuwaje mitaani.
Kama maisha yamekushinda bongo, nakushauri urudi USA ulikokuwa, huko afadhali kuna fursa hata za vibarua vya kukuingizia hata $40 per day uta survive kuliko kupamba watu wasiokubalika na jamii inayowazunguka,you expose yourself into shame.
Kumpima mkojo mtu ili umbaini kama anatumia madawa ya kulevya ni tendo la kijinga zaidi lililowahi kufanywa na wanaojiita wapambanaji wa dawa za kulevya.Tuna lundo la vijana nchi nzima waliogeuka mazezeta kutokana na matumizi ya dawa hizo,mbona wenyewe hawakusanywi na kupelekwa kwa mkemia mkuu?
Hivi mtu akitumia dawa hizo(Manji)kwa starehe zake mwenyewe huku akimudau kuendesha biashara zake na kuajili mamia ya watanzania katika kampuni zake,sisi kama Taifa tunapungukiwa na nini?
Ni afadhari tungemng'ang'ania muuzaji kwa kigezo cha kuharibu vijana wetu,unamfungulia kesi mtumiaji!Sasa kama ni hivyo mbona watumiaji ni wengi na hakuna juhudi zozote za kuwakamata na kuwafungulia kesi?
Bado naamini kuna watu serikali ina visasi nao na umeamua kutumia dawa za kulevya kama mjeredi wa kuwasurubia,huku ikiwaacha wauzaji ambao wengi ni wafadhiri wa chama na serikali wakiendelea kuua vijana wetu.
.
.Kumbe hata kusema Alimpiga warioba walimsingizia, Watu wanaletaga picha tu, leteni video akimpiga warioba, MAKONDA atafika mbali zaidi
Ni wapumbavu tu ambao huona kuambiwa ukweli ni husda, matunda ya historia yangu hata ukiyafahamu hayatokusaidia kitu,kikubwa na cha kushukuru sina midanda kama ya nduguyo mimi jina langu lipo kamili wala halimfichi baba mzazi kama Pascal alivyoeleza na index namba imapatikana kila sehemu niliyopita kielimu, ukweli unauma ila Daudi anapaswa aipambanue education background yake kama alivyowachakata wenzieAcha maneno lete historia yako tuangalie na matunda yake.. watu mnakaria unafiki tu na husuda