Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

The story is not balanced from the beginning to the end...there are alot o missing links kiasi kwamba hata kuconnect dots ni vigumu. Haipo balanced kiasi kwamba hata huwezi tofautisha ni uwepo (kuonekana kwa nguvu ya Mungu) au nguvu ya shetani.

Kukosekana "links" hizi si jambo la bahati mbaya. Najua kuwa mleta mada (Paskali Mayala)anajua vizuri kwanini zinaosekana na kwanini hajafanya juhudi kuzitafuta...
Kukosekana kwa hizo "link" ndio TAKWA haswa la mleta mada...
Uzi haupo kwa ajili ya kumpongeza "Kondakta" kama wengi wadhanivyo!
 
Ha ha ha ha.. Hapa ndo utajua team Lumumba ni zero brain.. Wanakimbilia ku-support wakidhani hii ni sifa chanya kwa kwa raisi wao Makonda..

Elimu Elimu Elimu..
 
Watanzania tunaabudu matajiri hata bila kujali utajiri wao umepatikanaje. Halafu tunasimama na kujidai eti hatupendi ufisadi. Unafiki mtupu!

Huyu kafanya biashara gani kwa muda huu mfupi mpaka kutajirika hivi?
 
'"""Baba wa Makonda hatajwi majina'''mkewe aitwa suzan!jina la baba yake 'kapuni'
'"""Hakuna Maelezo alisoma wapi secondary na wala index number yoyote ya necta inayoonyesha majina yake'''
Shikamoo paskali
 
Wanabodi,
Ukiisikia simulizi ya Makonda, alipotoka, alipo na anapokwenda, mtakubaliana na mimi kuwa hii ni kazi ya Mungu katika kuonyesha uwezo wake kwa wanadamu kwa kuufanya muujiza wa Jiwe Walilolikataa Waashi, Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni.
Kwa kuanzia, wasikilize wazazi wake.

Sasa msikilizeni Makonda mwenyewe.

Historia Yake Kuzaliwa na Familia
Makonda alizaliwa Februari 15, 1982 majira ya saa 1:30 asubuhi, familia ya mzee Makonda (Baba hatajwi majina) na mkewe, Suzan, walimkaribisha mtoto wao pekee wa kiume katika Zahanati ya Kolomije, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.

Elimu ya Msingi, Sekondari na Chuo.
Makonda ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Kabla ya kwenda Moshi, alipita katika Shule ya Msingi Kolomije na amesoma pia katika Chuo cha Uvuvi, Mbegani, Bagamoyo ambako alisoma hadi ngazi ya Diploma katika masuala ya uvuvi.Hakuna maelezo alisoma wapi Sekondari wala hakuna index number yoyote ya Necta yenye majina yake.

Kabla ya Chuo.
Makonda alianzia kazi ya kuchimba mchanga.
Akaja kazi ya kuchoma mkaa.
Akawa utingo kwenye mabasi stendi
Kisha akawa kondakta yaani Makonda akawa konda.

Ukiwa ni mpakwa mafuta kama Daudi, Mungu atakuinua kutoka chini ulipo na kukupandisha mahali pa juu palipo inuka.
Mibaraka.
Mibaraka kwa Makonda ilianzia siku yake ya kuzaliwa February 15, mwaka 2015 Rais Jakaya Kikwete alipomteua Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na kutangazwa Februari 18, mwaka 2015. Kuteuliwa siku yako ya kuzaliwa sio coincidence bali ni mipango ya Mungu.

Kufuatia utendaji uliotukuka, sisi wenye jicho la tatu Machi 12, 2016 tukamtabiria makubwa kwa kuandika humu jf Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam. Na kweli ikatokea Machi 13, 2016 akateuliwa RC DSM.

Mibaraka Zaidi.
Hii ni kazi ya mikono yake kwa baraka za Bwana. (Not necessarily ni kweli)
Inasemekana Mungu amemuwezesha
Makonda kununua jengo (apartment), pale Viva Towers kwa Sh600 milioni. Makonda amempa mke wake gari aina ya Mercedes Benz lenye thamani ya Dola 250,000 za Marekani (Sh550 milioni) kama zawadi ya ‘Birthday’,”
Makonda ana gari aina ya Lexus, lenye thamani ya Sh400 milioni. Makonda anamiliki magari mengine ya kifahari aina ya V8, anajenga maghorofa jijini Mwanza na amekarabati ofisi yake kwa Sh400 milioni zake binafsi.

Japo there is something missing ambayo ni a missing link kwenye story ya Makonda ambayo wazazi hawajaisema, Makonda mwenyewe hajaisema, wala sijaisikia ikisemwa popote, kuhusu elimu ya Sekondari, the bottom line ni the end justify the means.

Mwacheni Mungu aitwe Mungu.

Paskali

The Bottom Line The End Justify The Means...

That the means..

Lakini inaezekana vipi aka ajiliwa na serikali akapewa nyadhifa zoote hizo huku hana sifa na ni mtu magumashii...

mie nakwama hapo mwisho wangu wa kufikiri....
End Justify the means - Afe Punda mzigo wetu ufike jamenii..

I'm puzzled!
 
Wanabodi,
Ukiisikia simulizi ya Makonda, alipotoka, alipo na anapokwenda, mtakubaliana na mimi kuwa hii ni kazi ya Mungu katika kuonyesha uwezo wake kwa wanadamu kwa kuufanya muujiza wa Jiwe Walilolikataa Waashi, Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni.
Kwa kuanzia, wasikilize wazazi wake.

Sasa msikilizeni Makonda mwenyewe.

Historia Yake Kuzaliwa na Familia
Makonda alizaliwa Februari 15, 1982 majira ya saa 1:30 asubuhi, familia ya mzee Makonda (Baba hatajwi majina) na mkewe, Suzan, walimkaribisha mtoto wao pekee wa kiume katika Zahanati ya Kolomije, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.

Elimu ya Msingi, Sekondari na Chuo.
Makonda ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Kabla ya kwenda Moshi, alipita katika Shule ya Msingi Kolomije na amesoma pia katika Chuo cha Uvuvi, Mbegani, Bagamoyo ambako alisoma hadi ngazi ya Diploma katika masuala ya uvuvi.Hakuna maelezo alisoma wapi Sekondari wala hakuna index number yoyote ya Necta yenye majina yake.

Kabla ya Chuo.
Makonda alianzia kazi ya kuchimba mchanga.
Akaja kazi ya kuchoma mkaa.
Akawa utingo kwenye mabasi stendi
Kisha akawa kondakta yaani Makonda akawa konda.

Ukiwa ni mpakwa mafuta kama Daudi, Mungu atakuinua kutoka chini ulipo na kukupandisha mahali pa juu palipo inuka.
Mibaraka.
Mibaraka kwa Makonda ilianzia siku yake ya kuzaliwa February 15, mwaka 2015 Rais Jakaya Kikwete alipomteua Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na kutangazwa Februari 18, mwaka 2015. Kuteuliwa siku yako ya kuzaliwa sio coincidence bali ni mipango ya Mungu.

Kufuatia utendaji uliotukuka, sisi wenye jicho la tatu Machi 12, 2016 tukamtabiria makubwa kwa kuandika humu jf Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam. Na kweli ikatokea Machi 13, 2016 akateuliwa RC DSM.

Mibaraka Zaidi.
Hii ni kazi ya mikono yake kwa baraka za Bwana. (Not necessarily ni kweli)
Inasemekana Mungu amemuwezesha
Makonda kununua jengo (apartment), pale Viva Towers kwa Sh600 milioni. Makonda amempa mke wake gari aina ya Mercedes Benz lenye thamani ya Dola 250,000 za Marekani (Sh550 milioni) kama zawadi ya ‘Birthday’,”
Makonda ana gari aina ya Lexus, lenye thamani ya Sh400 milioni. Makonda anamiliki magari mengine ya kifahari aina ya V8, anajenga maghorofa jijini Mwanza na amekarabati ofisi yake kwa Sh400 milioni zake binafsi.

Japo there is something missing ambayo ni a missing link kwenye story ya Makonda ambayo wazazi hawajaisema, Makonda mwenyewe hajaisema, wala sijaisikia ikisemwa popote, kuhusu elimu ya Sekondari, the bottom line ni the end justify the means.

Mwacheni Mungu aitwe Mungu.

Paskali

Kwa mafanikio gani?
 
Kama story anayoelezea ni ya Kweli Mungu Mkubwa sana, Maana hakufaulu kidato cha Nne hivyo ikabidi kwenda Certificate then Diploma ya Uvuvi na baadae degree, Maisha yake ni Ushuhuda sana.
 
Hapo ni mungu au shetani!!!.
 
Pascal umemchana kistaarabu sana naona umempamba kwanza halafu ukamchana missing link kati ya maisha ya makonda ulivyomuelezea na mil500 na 600

Ha ha ha ha
 
Ngosha,
Nakuzunyaga sana aiseee...
Kama mtu si mwandishi nguli,si rahisi kuelewa ulichokiandika,
Hangamaga Ngosha Mayalla...
 
Kilomije-call me J.
Wasukuma walishindwa kutamka ndo likawachimbuko la kolomije baada ya hyu mzungu kusema aitwe j
 
Back
Top Bottom