Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Wanabodi,
Ukiisikia simulizi ya Makonda, alipotoka, alipo na anapokwenda, mtakubaliana na mimi kuwa hii ni kazi ya Mungu katika kuonyesha uwezo wake kwa wanadamu kwa kuufanya muujiza wa Jiwe Walilolikataa Waashi, Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni.
Kwa kuanzia, wasikilize wazazi wake.

Sasa msikilizeni Makonda mwenyewe.

Historia Yake Kuzaliwa na Familia
Makonda alizaliwa Februari 15, 1982 majira ya saa 1:30 asubuhi, familia ya mzee Makonda (Baba hatajwi majina) na mkewe, Suzan, walimkaribisha mtoto wao pekee wa kiume katika Zahanati ya Kolomije, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.

Elimu ya Msingi, Sekondari na Chuo.
Makonda ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Kabla ya kwenda Moshi, alipita katika Shule ya Msingi Kolomije na amesoma pia katika Chuo cha Uvuvi, Mbegani, Bagamoyo ambako alisoma hadi ngazi ya Diploma katika masuala ya uvuvi.Hakuna maelezo alisoma wapi Sekondari wala hakuna index number yoyote ya Necta yenye majina yake.

Kabla ya Chuo.
Makonda alianzia kazi ya kuchimba mchanga.
Akaja kazi ya kuchoma mkaa.
Akawa utingo kwenye mabasi stendi
Kisha akawa kondakta yaani Makonda akawa konda.

Ukiwa ni mpakwa mafuta kama Daudi, Mungu atakuinua kutoka chini ulipo na kukupandisha mahali pa juu palipo inuka.
Mibaraka.
Mibaraka kwa Makonda ilianzia siku yake ya kuzaliwa February 15, mwaka 2015 Rais Jakaya Kikwete alipomteua Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na kutangazwa Februari 18, mwaka 2015. Kuteuliwa siku yako ya kuzaliwa sio coincidence bali ni mipango ya Mungu.

Kufuatia utendaji uliotukuka, sisi wenye jicho la tatu Machi 12, 2016 tukamtabiria makubwa kwa kuandika humu jf Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam. Na kweli ikatokea Machi 13, 2016 akateuliwa RC DSM.

Mibaraka Zaidi.
Hii ni kazi ya mikono yake kwa baraka za Bwana. (Not necessarily ni kweli)
Inasemekana Mungu amemuwezesha
Makonda kununua jengo (apartment), pale Viva Towers kwa Sh600 milioni. Makonda amempa mke wake gari aina ya Mercedes Benz lenye thamani ya Dola 250,000 za Marekani (Sh550 milioni) kama zawadi ya ‘Birthday’,”
Makonda ana gari aina ya Lexus, lenye thamani ya Sh400 milioni. Makonda anamiliki magari mengine ya kifahari aina ya V8, anajenga maghorofa jijini Mwanza na amekarabati ofisi yake kwa Sh400 milioni zake binafsi.

Japo there is something missing ambayo ni a missing link kwenye story ya Makonda ambayo wazazi hawajaisema, Makonda mwenyewe hajaisema, wala sijaisikia ikisemwa popote, kuhusu elimu ya Sekondari, the bottom line ni the end justify the means.

Mwacheni Mungu aitwe Mungu.

Paskali

Mchochezi!!
 
The end justifies the means?
Mbona wengine waki 'justify the means' wanaingia matatani kwenye vyombo vya dola?

Kwa hiyo unasema Mungu kampa Makonda mabilioni bila chanzo maalum cha mapato?

Pascal Mungu anakuona.
 
Kumbe hata kusema Alimpiga warioba walimsingizia, Watu wanaletaga picha tu, leteni video akimpiga warioba, MAKONDA atafika mbali zaidi
Msome vizuri Pascal......hicho ni kijembe ametuma......hembu angalia hizo Mali za Makonda halafu ulinganishe na muda wake aliofanya kazi......hapo kuna harufu sio nzuri.
 
Wapinzani wenzangu tusibaki kulia lia na kulaumu tu mda unaisha anzeni kujenga chama kimya kimya,upinzani huendesha mambo kulingana na kiongozi mkuu aliepo,awamu hii sio kama tulivyozoea kwa maandamano,tukitulia kulalamika hakika mda unaenda na chama chetu kinakufa,AMKENI KUTOKA USINGIZINI
 
........Hakuna maelezo alisoma wapi Sekondari wala hakuna index number yoyote ya Necta yenye majina yake.

Huyu ni mwizi tu,ila kwa kuwa ni CCM basi anakuwa huru tu kama yule Mwenyekiti wa UVCCMArusha aliyekamatwa akiwa kaghushi kitambulisho cha usalama wa Taifa
 
.....Mibaraka kwa Makonda ilianzia siku yake ya kuzaliwa February 15, mwaka 2015 Rais Jakaya Kikwete alipomteua Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na kutangazwa Februari 18, mwaka 2015. Kuteuliwa siku yako ya kuzaliwa sio coincidence bali ni mipango ya Mungu.

Zawadi ya birthday ukuu wa Wilaya,baada ya kumzaba makofi Wali wa Warioba ama baada ya kumtukana Mr Gray hair vya kutosha?

Ama aliinama na kumfunga kamba riziki one siku ya birthday yake na nae bila hiyana akaomba azawadiwe zawadi yabirthday na mshua?

March12 2016 akatabiriwa Ukuu wa Mkoa,kesho yake asubuhi ikawa!!
 
hizo Mali zote anezitoa wapi maana kwa mshahara wa Rc awezi miliki Mali zote hizo. tunataka tujue anafanya biashara gani
 
Nimekuelewa sana MAYALLA...
Wengi hamjamsoma vizuri Mayalla anachokiwasilisha hapa...
Someni tena na tena kabla ya ku-comment chochote dhidi ya Mayalla!

KWELI TUMWACHE MUNGU NA AITWE MUNGU!
 
The story is not balanced from the beginning to the end...there are alot o missing links kiasi kwamba hata kuconnect dots ni vigumu. Haipo balanced kiasi kwamba hata huwezi tofautisha ni uwepo (kuonekana kwa nguvu ya Mungu) au nguvu ya shetani.

Kukosekana "links" hizi si jambo la bahati mbaya. Najua kuwa mleta mada (Paskali Mayala)anajua vizuri kwanini zinaosekana na kwanini hajafanya juhudi kuzitafuta...
 
Wanabodi,
Ukiisikia simulizi ya Makonda, alipotoka, alipo na anapokwenda, mtakubaliana na mimi kuwa hii ni kazi ya Mungu katika kuonyesha uwezo wake kwa wanadamu kwa kuufanya muujiza wa Jiwe Walilolikataa Waashi, Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni.
Kwa kuanzia, wasikilize wazazi wake.

Sasa msikilizeni Makonda mwenyewe.

Historia Yake Kuzaliwa na Familia
Makonda alizaliwa Februari 15, 1982 majira ya saa 1:30 asubuhi, familia ya mzee Makonda (Baba hatajwi majina) na mkewe, Suzan, walimkaribisha mtoto wao pekee wa kiume katika Zahanati ya Kolomije, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.

Elimu ya Msingi, Sekondari na Chuo.
Makonda ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Kabla ya kwenda Moshi, alipita katika Shule ya Msingi Kolomije na amesoma pia katika Chuo cha Uvuvi, Mbegani, Bagamoyo ambako alisoma hadi ngazi ya Diploma katika masuala ya uvuvi.Hakuna maelezo alisoma wapi Sekondari wala hakuna index number yoyote ya Necta yenye majina yake.

Kabla ya Chuo.
Makonda alianzia kazi ya kuchimba mchanga.
Akaja kazi ya kuchoma mkaa.
Akawa utingo kwenye mabasi stendi
Kisha akawa kondakta yaani Makonda akawa konda.

Ukiwa ni mpakwa mafuta kama Daudi, Mungu atakuinua kutoka chini ulipo na kukupandisha mahali pa juu palipo inuka.
Mibaraka.
Mibaraka kwa Makonda ilianzia siku yake ya kuzaliwa February 15, mwaka 2015 Rais Jakaya Kikwete alipomteua Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na kutangazwa Februari 18, mwaka 2015. Kuteuliwa siku yako ya kuzaliwa sio coincidence bali ni mipango ya Mungu.

Kufuatia utendaji uliotukuka, sisi wenye jicho la tatu Machi 12, 2016 tukamtabiria makubwa kwa kuandika humu jf Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam. Na kweli ikatokea Machi 13, 2016 akateuliwa RC DSM.

Mibaraka Zaidi.
Hii ni kazi ya mikono yake kwa baraka za Bwana. (Not necessarily ni kweli)
Inasemekana Mungu amemuwezesha
Makonda kununua jengo (apartment), pale Viva Towers kwa Sh600 milioni. Makonda amempa mke wake gari aina ya Mercedes Benz lenye thamani ya Dola 250,000 za Marekani (Sh550 milioni) kama zawadi ya ‘Birthday’,”
Makonda ana gari aina ya Lexus, lenye thamani ya Sh400 milioni. Makonda anamiliki magari mengine ya kifahari aina ya V8, anajenga maghorofa jijini Mwanza na amekarabati ofisi yake kwa Sh400 milioni zake binafsi.

Japo there is something missing ambayo ni a missing link kwenye story ya Makonda ambayo wazazi hawajaisema, Makonda mwenyewe hajaisema, wala sijaisikia ikisemwa popote, kuhusu elimu ya Sekondari, the bottom line ni the end justify the means.

Mwacheni Mungu aitwe Mungu.

Paskali

Mkuu, hapo kwenye elimu mangekimambi anahofu na elimu ya mkuu wetu. Unasemaje hilo kuhusu amebumba hasa pale form 4.
 
Back
Top Bottom