willington maleko Member Joined Jun 23, 2013 Posts 6 Reaction score 1 Jun 27, 2013 #1 ''mafanikio ya mwanaume mwanamke yumo na mafanikio ya mwanamke ni yakwake mwenyewe' najua wajua nami najuze
''mafanikio ya mwanaume mwanamke yumo na mafanikio ya mwanamke ni yakwake mwenyewe' najua wajua nami najuze
R rubwe Senior Member Joined Feb 12, 2013 Posts 109 Reaction score 25 Jun 28, 2013 #2 Mafanikio kwenye nyumba kama mna ndoa mnaishi mke na mume huwa ya kwenu wote. Haijalishi mke ana kipato kikubwa au mume kamzidi mke kipato.
Mafanikio kwenye nyumba kama mna ndoa mnaishi mke na mume huwa ya kwenu wote. Haijalishi mke ana kipato kikubwa au mume kamzidi mke kipato.