Mafanikio na madhara ya serikali yetu jamhuri ya watu wa korea kaskazini

Mwemary

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2016
Messages
304
Points
500

Mwemary

JF-Expert Member
Joined May 25, 2016
304 500
Serikali ya Jamhuri ya watu wa korea iliundwa kama miaka kadhaaa iliyopita. Ni serikali iliojaa mafanikio na vitimbi kwa watu wake wa korea.Miongoni mwa mafanikio yake
1.Kukataza kabsa safari za nje ya nchi huku watoto pendwa kim john uni wakisafiri bila kupata kibali na kufanya matanuzi nje na ndani ya nchi.
2.Nchi kuongozwa kwa amri (presidential decree) ya Rais kwani atakalosema yeye ndo katiba ukipingana nae ukipingana nae tuuu watakubashite.
3.Kutoongeza mishahara kwa wa fanyakazi wake huku akiwatisha na wasiotaka kazi waaache kwani kuna vijana wenhi mitaaani. Huku hao vijana akiwaita vilaza.
4.Kutoshahurika na kujiona yeye ndo mahakama bunge na dola.Hivyo kuwafunga midomo wenzie.
5.Kupenda kuhutubia kila mara kwa kufikiri kuwa shida za wanacchi wake zitamalizwa na hotuba zake.
6.kupenda kujinasibisha kuwa yeye ni mtetezi wa wanyonge huku akiwarundikia wanachi wake lundo la kodi na wanapopata matatizo huishia kuwadharau na kuwatukana.
7.kujiona yeye ni bora zaidi ya wenzake na kuamrishwa wengine wapigwe kwa sababu hawana dola.


Hayo ni baadhi ya mambo machachache nitawaelezea madhara yake hayo ni mafanikio yake
 

Forum statistics

Threads 1,389,665
Members 527,997
Posts 34,031,421
Top