Kipi kimejificha kati ya mafanikio na mkoa wa Dar?

Zephasonic

New Member
Joined
Apr 23, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Habari ndugu zangu kuna siri gani imejificha kati ya mafanikio na mkoa wa Dar es salaam?

Mpaka sasa sijapata majibu sahihi watu wenye pesa wote wapo Dar. Wasanii wakubwa wenye mafanikio wote wapo Dar, Media kubwa zote zipo Dar, machawa wote wapo Dar.

Je, kwanini Dar kira mtu anayehitaji kufanikiwa yupo dar? Embu fikiria Mabus yote ya mikoani asilimia 100% yanaanzia safari zao Dar kwenda mikoani, Vyuo vikuu bora nchi hii vipo Dar Udsm na Muhas.

Kipi kimejificha nyuma ya Dar?

Naombeni ufafanuzi jamani hilo swala linanitesa sana.
 
Ni kutokana na ulumbi uliokuwemo kwenye ustawi wake
 
Back
Top Bottom