Siri ya Mafanikio kwa kila binadamu

Codehood

JF-Expert Member
Dec 9, 2021
205
439
Hi guys,

Nianze kwa kusema watu hawapo sawa tena tuna tofautiana kwa kiwango kikubwa sana. Akili, Mawazo na Fikra Ulizonazo wewe, mimi na mwengine ni tofauti which led kuwepo kwa matabaka katika jamii It's all connected and none of us can change it.

If you see yourself as a clever one basi know that wengine wanakuona wewe ni mzembe na mvivu na mafanikio yako hayawezi kuwa kama wao.

Mafanikio ya mtu yapo kwenye DNA zake, ndio maana kuna wanaotumia nguvu nyingi ila wanapata Matokeo Madogo na kuna wanaotumia nguvu ndogo but wana archive vitu vikubwa.

You can't beat these kinds of people and you can't be them but angalau utapata unacho stahili for your hard work.

Usilazimishe vitu kama haviendi coz maybe Mazingira hayaruhusu Mafanikio yako hapo due to your DNA.

Badilisha Mazingira instead of Kulazimisha vitu coz I know for the fact kila mtu mafanikio yake yapo sehemu fulani but how do you know that?

You'll know kwa kubadisha unachokifanya au kubadilisha Mazingira and that's it.

It's just a puzzle or something which every one of us needs to figure it out na kama utashindwa kung'amua basi you'll be doomed Forever.

HOW TO CRACK THE CODE?

Loading.....
 
Success and failure are the same thing with the same results there's people who strive to get on the top as well there's people who strive to get on poverty zone .

No 1 one and No zero their different is on the one inches

The ones who score zero and the ones who score one are the same .
 
Ukitaka kufanikiwa kirahisi ondoa kichwani kwako kitu kinaitwa SCARCITY MINDSET

Ni ile hali ya kuamini kuwa hapa duniani kuna uhaba wa kitu fulani

Kuna watu wanaamini kuna uhaba wa kazi, uhaba wa hela, uhaba wa wapenzi and the list goes on...

Anza kuamini kwamba kila unachohitaji kipo na unacho tayari

Anza kuamini kwamba huhitaji chochote na utaona utakavyofanikiwa kirahisi kila kona
 
Kulazimisha mafanikio kwenye vitu usivyoweza kufanya, ni sawa na kusukumiza gari ukiwa ndani yake.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wengine tunataka mafanikio ya kiroho tu,, Mali ,Vito ,majumba HAPANA.
 
Back
Top Bottom