Maestro Erasto Nyoni: Miguu ya dhahabu isiyoisha utamu

huyo nadhani bado mtoto sana kumweka mizani moja na maestro erasto Nyoni

Umenifurahisha kumfananisha na King messi
Kiungo bora wa Tanzania ni Fei Toto, anajua kudribble, anayocontrol, ana pasi za uhakika, Fei namfananisha na Lionel Messi
 
Mvinyo unavyo zidi kukaa sana ndio huzidi kuwa mtamu .... Nyoni ni moja kati ya wachezaji wazuri sana niliowahi kiwashuhudia hapa nchini.

Jamaa ni kiraka, halafu ni mchezaji kiongozi awapo uwanjani
Nimeshudia Wachezaji wengi kwa Tanzania erasto ni moja ya Wachezaji wangu bora kuwahi kutokea Tanzania

Ni vile tu soka letu halina Mfumo mzuri wa kuibua vipaji
Huyu angewahi kutoka akaenda huko duniani angekuwa level moja na kina Michael essien
 
Nami nilikuwa na wasiwasi ila Tanzania huwa tunawazeesha wazee
Ona kaseja walishamstafisha ila hakukataa tamaa
Miaka 40 hajafikisha sababu huyu ameonekana kwenye mpira tokea akiwa kijana mdogo amezaliwa mwaka 1985

Kelvin Yondani 1986
 
Huyu ndio kiungo na yule Mudhari hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…