Maestro Erasto Nyoni: Miguu ya dhahabu isiyoisha utamu

huyo nadhani bado mtoto sana kumweka mizani moja na maestro erasto Nyoni

Umenifurahisha kumfananisha na King messi
Kiungo bora wa Tanzania ni Fei Toto, anajua kudribble, anayocontrol, ana pasi za uhakika, Fei namfananisha na Lionel Messi
 
Mvinyo unavyo zidi kukaa sana ndio huzidi kuwa mtamu .... Nyoni ni moja kati ya wachezaji wazuri sana niliowahi kiwashuhudia hapa nchini.

Jamaa ni kiraka, halafu ni mchezaji kiongozi awapo uwanjani
Nimeshudia Wachezaji wengi kwa Tanzania erasto ni moja ya Wachezaji wangu bora kuwahi kutokea Tanzania

Ni vile tu soka letu halina Mfumo mzuri wa kuibua vipaji
Huyu angewahi kutoka akaenda huko duniani angekuwa level moja na kina Michael essien
 
Nami nilikuwa na wasiwasi ila Tanzania huwa tunawazeesha wazee
Ona kaseja walishamstafisha ila hakukataa tamaa
Miaka 40 hajafikisha sababu huyu ameonekana kwenye mpira tokea akiwa kijana mdogo amezaliwa mwaka 1985

Kelvin Yondani 1986
 
Huyu kijana nimekuwa namsikia toka yule kocha wa kibrazil Yupo Tanzania mpaka sasa
Napenda sana mchezo wake huwa namfananisha na andrea pirlo Yule wa The azures Au taribo west wa super eagles

Kwa stail yake ya uchezaji sio rahisi kumuona akipoteza pasi,sio rahisi kuona akifanya faulo za kizembe

Ni Wachezaji wachache wanaoweza kujitunza kama erasto kwa soka la Tanzania kwa kuwa soka la Tanzania halieheshimu vipaji vya Wachezaji ila siasa nyingi


Huwa nafurahi zaidi kumwona anapocheza timu ya Taifa akiwa na yondani

Naomba mwenye Maelezo yake kwenye carrier yake toka anaanza hadi hapa alipofika

Ni moja ya Wachezaji wa kitanzania ninaowakubali sana

Moderetors mkipendezwa huu uzi muwekee stick kumuenzi huyu kiungo maridadi wa mpira kuwahi kutokea nchini

...............................................................
Historia fupi katika maisha yake ya soka

Kipaji chake kiliibuliwa katika mashindano ya vijana mkoa wa Arusha
Baada ya hapo alisajiliwa na AFC ya mkoani Arusha baadaye alitimkia katika club ya VITALO FC ya nchini Burundi kabla ya Azam kumrudisha nchini na kuwa mchezaji tegemeo na sasa anacheza klub cha simba sc

Tutaendelea kuiweka hapa historia yake
Huyu ndio kiungo na yule Mudhari hapa Tanzania
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom