MAERSK Tanzania wamekaidi agizo la Rais la kufanya kazi masaa 24

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Mapema mwaka jana mh Rais ulitoa maagizo ya wadau wote wa bandari hapa Tz wafanye kazi kwa masaa 24.

Hali ni tofauti kwa MAERSK hapa Tz wao wameamua ama kwa makusudi au pengine kuna mtu anawalinda kuipuuza amri hiyo halali ya mkuu wa nchi.

Jumapili hawafanyi kazi masaa 24 km agizo la mkuu wa nchi lilivyowataka;kwa nini?!

Wadau wengine km MSC,TRH na wadau wengine siku zote saba za wiki wao hufanya kwa mda wa masaa 24.

Kwa nini MAERSK wameamua kumpuuza mkuu wa nchi?!
 
Bandari haina mizigo ya kutosha watu kufanya kazi SAA 24/7. Maersk inaonekana huwajui vema mkuu achana nao
Wewe ndiyo hunifahamu na sisi eti siwafahamu wao. Hadi nasema hivyo utambue mm ni mdau ndiyo maana ninao uhakika wa nikisemacho.

Kuhusu eti mizigo kupungua bandarini,acha kupotosha!
 
Mapema mwaka jana mh Rais ulitoa maagizo ya wadau wote wa bandari hapa Tz wafanye kazi kwa masaa 24.

Hali ni tofauti kwa MAERSK hapa Tz wao wameamua ama kwa makusudi au pengine kuna mtu anawalinda kuipuuza amri hiyo halali ya mkuu wa nchi.

Jumapili hawafanyi kazi masaa 24 km agizo la mkuu wa nchi lilivyowataka;kwa nini?!

Wadau wengine km MSC,TRH na wadau wengine siku zote saba za wiki wao hufanya kwa mda wa masaa 24.

Kwa nini MAERSK wameamua kumpuuza mkuu wa nchi?!
Hiyo mizigo iko wapi wafanye kazi 24hrs,inawezekana kazi kwao zimepungua kwahiyo wakimaliza wanafunga ofisi
 
Ndio kazi iliyobakia hiyo mtoto wakiume mishipa ya shingo imekutoka mimacho imekutoka kutuambia umbea acha ushoga .mavi ya kuku wewe
Ninao uwezo wa kukutukania hadi mama yako lkn nakustahi Kwa sababu huna unalolitambua kuhusu mada yangu fukara na masikini mkubwa!
 
Wewe ndiyo hunifahamu na sisi eti siwafahamu wao. Hadi nasema hivyo utambue mm ni mdau ndiyo maana ninao uhakika wa nikisemacho.

Kuhusu eti mizigo kupungua bandarini,acha kupotosha!
Tangu lini huyo Chabubanga akawa mwamuzi wa namna ya ufanyaji kazi mpaka makampuni binafsi ?
 
Ninao uwezo wa kukutukania hadi mama yako lkn nakustahi Kwa sababu huna unalolitambua kuhusu mada yangu fukara na masikini mkubwa!
Jeuri hiyo huna wewe mbwa koko wewe unawafwatiria watu unawapangia watu wewe kama nani .watu mishahara yao wanalipwa kodi ya serikali wanalipa shida yako nini acha raisi wetu ampumuwe anachotaka yeye watu walipwe na kodi walipe
 
Asante kwa hoja hii; twende taratibu
1. Nini kilipelekea Rais kutoa agizo hilo?
2. Kuna athari zozote kwa Maersk kutofanya kazi masaa 24? Ainisha
3. Nini kimebadilika tangu agizo la masaa 24 litolewe? Ainisha
4. Nani msimamizi wa agizo hili la Rais? Na lina nguvu gani kisheria na kiutaratibu kwa kampuni binafsi?

Je mazingira ya uingiaji na upakuzi wa meli yanalizimu kampuni kufanya kazi masaa 24 kwa sasa?
 
Ndio kazi iliyobakia hiyo mtoto wakiume mishipa ya shingo imekutoka mimacho imekutoka kutuambia umbea acha ushoga .mavi ya kuku wewe
Umeongea mengi nimewaza tu "mavi ya kuku tena yule mwenys kideri vile hufanania" nikapata jibu ni sahihi kumtusi
 
Jeuri hiyo huna wewe mbwa koko wewe unawafwatiria watu unawapangia watu wewe kama nani .watu mishahara yao wanalipwa kodi ya serikali wanalipa shida yako nini acha raisi wetu ampumuwe anachotaka yeye watu walipwe na kodi walipe
Huwa sibishani masikini wa kila kitu km wewe!Hamchelewi kututafutia kesi ili tu ulipwe.Pambana na umasikini wako fukara we!
 
Back
Top Bottom