Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Picha zinakuja soon
Natamani ungeambatanisha na tupicha kidogo maana kuna wengine tangu tuzaliwe huku mikoani hatujawahi kufika Dar.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uko sahihi kabisa
Mkuu eneo hilo linaongoza kwa massage services centre wenyeji wengi wanapangisha na kusonga madale, kerege, goba etc

Mkali wa kama google earth mpaka osama unammanja
 
Majority ya wakazi wa dar maisha duni, nyumba za hovyo, mlo shida
mlo inawezekana cause vyakula mikoani ni cheap & available kuliko Dar.Nyumba labda kwasababu ardhi kwa hapa dar ni dhahabu then population ni kubwa.mkoani kuna ardhi kubwa then population ndogo.nyumba za low quality zipo hata mkoani.dar kuna sehemu kuna nyumba za udongo mkoani hadi za nyasi
 
Linganisha nyumba za mikoani za makazi na nyumba za kinondoni, msasani, mazenze, mbagala, kiwalani, linganisha na ulaji pia uone nani ana dhiki
asa manzese nayo unaiweka hapa? lets talk about O'bay,mikochen,mbezi beach,Goba and the likes
 
Linganisha nyumba za mikoani za makazi na nyumba za kinondoni, msasani, mazenze, mbagala, kiwalani, linganisha na ulaji pia uone nani ana dhiki
Inawezekana una hoja ya msingi lakini unakosea namna ya kuiwasilisha.
Mfano kuna maeneo mikoani yako vizuri kuliko DSM. Mfano Tandale na Njiro Arusha au mbagala na Kapripoint Mwanza au Manzese na Forest Moro. Ungesema hivi hoja yako ingekuwa ya msingi.
Ila ukilinganisha mkoa kama mkoa utafeli. Unaweza kuzunguka DSM yote Bunju-Mbagala-Kiluvya usipate nyumba ya nyasi.
Je mikoa mingine hili linawezekana?
 
Nyumba za dar za makazi ni matofali yameungwaungwa tu saruji, madirisha nyavu tu, hakuna lip, yaani kama mabanda ya kuku
 
mlo inawezekana cause vyakula mikoani ni cheap & available kuliko Dar.Nyumba labda kwasababu ardhi kwa hapa dar ni dhahabu then population ni kubwa.mkoani kuna ardhi kubwa then population ndogo.nyumba za low quality zipo hata mkoani.dar kuna sehemu kuna nyumba za udongo mkoani hadi za nyasi
Za nyasi kwa mikoani ni vijijini
 
My deduction: binadamu tunategemeana, mwenye nacho anamtegemea asiye nacho ili apate labour. Hivyo tuishi kwa kuheshimiana. Nakumbuka Kuna uzi humu unaeleza asili ya majina ya maeneo, na hilo la Msasani(hali ya chini) lilitokana na wafanyakazi wa kimachinga waliokuwa wameajiriwa na mzungu Michael Chain(Mikocheni-hali bora) kushindwa kutamka jina la mnyampara wao Musa Hassan (Msasani)
Dah hii nimeipenda
 
Back
Top Bottom