Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Yafuatayo in baadhi ya maeneo yaliyokaribu sana kijeografia ila yana hadhi tofauti kimaisha.

1. Sinza na Tandale
Mitaa hii ipo karibu sana ila hali ya maisha ya watu wake in tofauti kabisa. Tandale watu wengi wana maisha ya chini na uswahili pia.

2. Kawe na mikocheni
Kawe kuna uswazi ila jirani zao mikocheni kwa warioba wanakula upepo

3. Masaki na msasani
Hapa tajiri anakutana na maskini moja kwa moja. Ukimaliza tu masaki na kuanza msasani unaanza kuona ladha ya umasikini. Msasani kuna slum.

4. Mtongani na bahari beach/ununio.
Watu wa mtongani wana maisha ya chini sana shughuli yao ni uvuvi, kokoto na bodaboda ila jirani zao bahari beach ni maghorofa na mitaa iliyopangika vizuri na watu maarufu wako huko.

Hayo ni maeneo ambayo wenye nacho na pangu pakavu wanaishi pamoja kwa ukaribu
Tandale na Sinza, au Tandale na Kijitonyama kwa Ali Maua
 
My deduction: binadamu tunategemeana, mwenye nacho anamtegemea asiye nacho ili apate labour. Hivyo tuishi kwa kuheshimiana. Nakumbuka Kuna uzi humu unaeleza asili ya majina ya maeneo, na hilo la Msasani(hali ya chini) lilitokana na wafanyakazi wa kimachinga waliokuwa wameajiriwa na mzungu Michael Chain(Mikocheni-hali bora) kushindwa kutamka jina la mnyampara wao Musa Hassan (Msasani)
ahahah
 
Dsm watu wengi wana maisha duni sana sana hawana kazi ni ubabaishaji tuu,hawana stock za vyakula hununua wanapotaka kula unga nusu,mafuta ya kula robo,fungu la dagaaa!!! Yani shida tupu !!! Ukikuta wana kunywa hizo supu zao za buku(1000) utacheka
Lakini wanajiona wajanjaaa!!!
Tuache na maisha yetu hatajaja kuomba kwako siye tunajaliana
 
Dsm watu wengi wana maisha duni sana sana hawana kazi ni ubabaishaji tuu,hawana stock za vyakula hununua wanapotaka kula unga nusu,mafuta ya kula robo,fungu la dagaaa!!! Yani shida tupu !!! Ukikuta wana kunywa hizo supu zao za buku(1000) utacheka
Lakini wanajiona wajanjaaa!!!
Kikubwa pumzi mjomba
 
Yafuatayo in baadhi ya maeneo yaliyokaribu sana kijeografia ila yana hadhi tofauti kimaisha.

1. Sinza na Tandale
Mitaa hii ipo karibu sana ila hali ya maisha ya watu wake in tofauti kabisa. Tandale watu wengi wana maisha ya chini na uswahili pia.

2. Kawe na mikocheni
Kawe kuna uswazi ila jirani zao mikocheni kwa warioba wanakula upepo

3. Masaki na msasani
Hapa tajiri anakutana na maskini moja kwa moja. Ukimaliza tu masaki na kuanza msasani unaanza kuona ladha ya umasikini. Msasani kuna slum.

4. Mtongani na bahari beach/ununio.
Watu wa mtongani wana maisha ya chini sana shughuli yao ni uvuvi, kokoto na bodaboda ila jirani zao bahari beach ni maghorofa na mitaa iliyopangika vizuri na watu maarufu wako huko.

Hayo ni maeneo ambayo wenye nacho na pangu pakavu wanaishi pamoja kwa ukaribu
Mimi niko Kawe asikofika Halima Mdee.
 
Ndio hvyo anaiangalia kwenye tv kumbe ukienda ni mapori tu
Jamaa anataka kulinganisha Dar na Dodoma hahahaa.
TBC inawadanganya sana watu. Ukiangalia TBC unaweza kusema Dodoma ni New York kama hujafika
 
Jamaa anataka kulinganisha Dar na Dodoma hahahaa.
TBC inawadanganya sana watu. Ukiangalia TBC unaweza kusema Dodoma ni New York kama hujafika
Dom ni seem ya kiselekali zaidi na itabaki kua hivyo. Dar ni seem ya kibiashara fujo zote km pamba kali, magari makali, madem wakali na vngne unavovijua utazikuta apo . Nafaham kuna jamaa wakishavuna uko mikoan lazma wapande Dar kujipooza
 
Masaki ni upande wa juu wa iyo picha, chini msasani.
Hio picha na baadhi ya maelezo ya mtoa mada sio kweli. Masaki na msasani hazikutani uswahilini. Msasani uswahilini inapaka na Oyaterbay. Kuna mtaa unaitwa Ali bin Said. Mtaa huu upande mmoja ni Oyaterbay ukivuka upande wa pili ni uswazi msasani ambapo yalikuwa machimbo yakokoto watu wamevamia na kujenga. Ndio hio picha inaonesha.
Masaki na msasani zinaingana sehemu inaitwa msasani Kwa mamwimyi. Hapa ni msasani ushuani kuna kiwanja kinaitwa Capetown fish market, kuna gym kongwe inaitwa fitness centre na apartment za kishua. Msasani Kwa mamwimyi inaenda hadi Tirdo ambako mbele kidogo inaamza maandazi road na uswazi bonde la mpunga.
Hakuna sehemu masaki inaungana na msasani uswahilini.
 
Back
Top Bottom