Ukwelihalisi wamemwondoa MTU hapo..hali n mbayaa..mkuu Seth yupi yule wavchekeshoNilikuwa Kinondoni hivi karibuni kwa ajili ya MAZISHI ya rafiki yangu Seth hakika hali sio nzuri...hakuna nafasi kabisa hata sehem walipomzika huyu rafiki yangu ni finyu mno...Serikali inabidi ifanye uamuzi wa Busara kutenga maeneo mengine kwa ajili ya shughuli hii nyeti kwetu sisi binadamu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio yule aliyekufa na bikira yakeYaani
Ukwelihalisi wamemwondoa MTU hapo..hali n mbayaa..mkuu Seth yupi yule wavchekesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unamfuata huko huko unamwambia aroo makazi yako ni dar kama hari mbaya twende ukamarizikie hukoHahahaha! we Mshana utasababisha watu wakimbie jiji.. kufa ufe, na kuchomwa tena? watz na kuchomwa moto wapi na wapi? UTACKIA"NGOJA NIKAUGULIE KIJIJINI" KUMBE WOGA WA KUCHOMWA MOTO
sasa umeshakufa unaogopaje motoHahahaha! we Mshana utasababisha watu wakimbie jiji.. kufa ufe, na kuchomwa tena? watz na kuchomwa moto wapi na wapi? UTACKIA"NGOJA NIKAUGULIE KIJIJINI" KUMBE WOGA WA KUCHOMWA MOTO
Wazo zuri sana mkuuHapo kinondoni panafaa kujengwa Apartments na Shopping Malls. Hiyo mifupa iliyopo Hapo ikusanywe ikatengenezee chakula cha kuku
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unamfuata huko huko unamwambia aroo makazi yako ni dar kama hari mbaya twende ukamarizikie huko
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani ukijenga malls kibiti kunashida ganiHapo kinondoni panafaa kujengwa Apartments na Shopping Malls. Hiyo mifupa iliyopo Hapo ikusanywe ikatengenezee chakula cha kuku
Kibiti nani atanunua vitu huko.wamejaa maulamaa chokest. Kazi kufuga midevu na kuvaa vipedo wakisubiri tende za msaada na kuchimbiwa visima vya maji chumvikwani ukijenga malls kibiti kunashida gani
Lifespan ya kaburi haizidi miaka 20 lakini ni vema sasa tukafikiria kuingia kwenye mfumo wa cremation (kuchoma moto) kwa mfumo huu makaburi ya kino yanaweza kuzika zaidi ya watu million tano
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa hivyo bara la Asia lisingekuwa na reserve kubwa ya mafutaVizazi vijavyo vitakosa mafuta (crude oil) ambayo inatokana na kuoza kwa viumbe hai (decomposition of organic matter) ambayo huzalisha mafuta ghafi (hydrocarbons) baada ya miaka mingi. Sasa wakichomwa huo mfumo wa kiikolojia na kikemia utaharibika.