Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,962
Aje PM kufanya Nini Sasa [emoji848], au umeona nimemuita aje huko ? Kwamba kwako 5M Umeona Ni hela kubwa Sana kiasi cha kunitoa udenda au ? [emoji23][emoji23]. We kenyonyo kweli.
Toa ushauri mlamu acha porojo, kama kuna tozo mwambie tu usizuge sana... sema sijui nimekutibulia mshkaji duh![emoji3][emoji3][emoji3]