Nyavinene
Senior Member
- Jul 28, 2020
- 164
- 175
Habari wadau
Niende kwenda moja kwa moja kwenye mada. Kuna mdogo wangu anamaliza chuo mwaka huu na mwezi huu. Ameniomba ushauri wa kumchagulia sehemu ya kutafutia maisha kwa mkoa wa Mwanza.
Pia kaomba nimpe biashara za kufanya akiwa huko Mwanza. Ila kwa bahati mbaya mimi bado nipo Kisumu Kenya nikinunua mayai ya bundi. Kwa wenyeji wa mkoa Mwanza nipeni ufafanuzi wa Maeneo ya kusakia maisha na biashara zinazolipa huko Mwanza.