DAWASA sijui kazi yao nini, watu tulitegemea kipindi hiki cha uchaguzi angalau wangetudanganya na kutoa maji lakini wapi kuanzia awamu ya Mkapa, Kikwete maji ni shida sana angalau kipindi cha Magufuli tulikuwa tunapata maji mara 3 kwa wiki na wakati mwingine hata mara 5 kwa wiki
Nini ambacho kaweza hawa wengine wanashindwa nini?
Nini ambacho kaweza hawa wengine wanashindwa nini?