kero ya maji kimara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Kero ya maji Kimara Mwisho

    Kimara Mwisho tuna shida kubwa sana ya upatikanaji wa maji safi toka DAWASA kuanzia mtaa wa bakery ni upande wa kushoto ukitokea mjini baada ya msikiti kwenda Stopover. atizo hili ni la muda mrefu sana toka January hadi sasa, maji tunapewa mara moja kwa wiki yaani Jumatatu tuu. Hapa toka wiki...
  2. H

    JamiiForums Tanzania KERO Maeneo ya Kimara, Ubungo na Mbezi hii ni wiki ya tatu maji hayatoki, sijui shida ni Nini?

    DAWASA sijui kazi yao nini, watu tulitegemea kipindi hiki cha uchaguzi angalau wangetudanganya na kutoa maji lakini wapi kuanzia awamu ya Mkapa, Kikwete maji ni shida sana angalau kipindi cha Magufuli tulikuwa tunapata maji mara 3 kwa wiki na wakati mwingine hata mara 5 kwa wiki Nini ambacho...
Back
Top Bottom