Maeneo korofi

Maeneo korofi

kopo la chumvi

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
257
Reaction score
470
Wakuu pole na majukumu,,

Nimebahatika kutembelea na kuishi mikoa nane ya Tanzania bara adi Sasa.

Nimefanya utafiti mdogo sana na kugundua maeneo "KOROFI"
Maeneo hayo yamekuwa yakitumika sehem tofauti kulingana na mahali

1:relini
2:shuleni

Maeneo haya vijana wengi uyatumia kama guest nyakati za usiku kufanya mapenzi na wapenzi wao au kubadilishana mawazo na wapenzi wao,,

**Maeneo yanayoongoza kwa vijana (ke) wengi kupata mimba zisizo tarajiwa

KARIBU UTAJE MAENEO MENGINE KOROFI UNAYOFAHAMU [emoji1376][emoji1376][emoji1376]
 
Kuna watu wanakulana relini? Duh how? Zile kokoto?
Enzi hizo Mzee Bado anafundisha tulikuwa tukikaa nyumba za walimu huko Kwa wajita kuna demu nilikuwa namgegeda madarasani coz hayakuwa na milango na hakukuwa na umeme Wala mlinzi watoto wa kijita wanajua kupenda na wanapenda kutiana
 
Umenikumbisha tukio nilivyo umwa na ng'e milipokua nafanya matusi kwenye uwanja wa Milambo Secondary Tabora, hapo ilikua mwaka 1991...😜🙌
 
Watu wanakulana ovyo nyie acha tu,,juzi kuna watu nimewakuta kwenye shina la miwa wanatiana karbu na nyumbani kwetu
 
Back
Top Bottom