BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,344
- 6,868
Ukoloni ulichelewesha maendeleo Africa..lakini bado waliacha mifumo yao ya kibabylonTangu Uhuru upatikane ni miaka mingapi? Hii explanation hai hold water tena kwa kuwa tafiti zimeonesha kwamba zipo sababu nyingi nje ya ukoloni ambazo zimekwamisha maendeleo.
Ukoloni ulichofanya ulichelewesha tu maendeleo na kuleta gap Kati ya Europe na Africa lakini baada ya ukoloni hatuna sababu ya kuchelewa.
Hapana! Mwafrika hakutokana na Kanaani, bali na Kushi. Kushi ni mtu mweusi.Sasa laana ya muafrica inaanzia hapa
Siwezi kujibu hilo, ila Kuna makala nyingi zinazoelezea 'access' ya weusi kwa mfumo wa kisheria wa huko Marekani.Hao weusi wamefikaje magerezani? Wameonewa?
Shida kubwa kukosa uaminifu, rangi siyo tija hata white men wapo masikiniNchi zinazochukuliwa kuwa "the most developed in Africa" ni Mauritius, Seychelles, Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, South Africa, Gabon, Botswana, and Mauritius.
Ukiacha Gabon, karibia nchi zote zilizotajwa hapo juu zina unasaba na Uarabu au Uzungu!
Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, na Morocco ni nchi za Kiarabu.
South Africa inafahamika, ni kwa Makaburu.
Botswana nako kuna mchango wa Uzungu. Rais wa kwanza wa Botswana, Sir Seretse Khama, mkewe alikuwa Mzungu wa Uingereza. Huwezi kuyatenganisha mafanikio yake na mchango wa mke wake. Inasemekana, yeye kama Rais wa kwanza, aliiweka misingi imara ya uongozi.
Seychelles nako wana unasaba na Wazungu.
Tukirudi Tanzania, wanaoongoza kwenye orodha ya matajiri ni Watanzania wenye ngozi nyeupe.
Ukigoogle, TOP 10 RICHEST PEOPLE IN TANZANIA utawakuta wafuatao: Mohammed Dewj,
, Rostam Aziz, Said Salim Bakhressa, Ally Awadh, Shakhar Kanabar, Fida Hussein Rashid, Shubash Patel, Yusuf Manji, Ghalib Said Mohammed, na Yogesh Manek. Ukiangalia sura za hao matajiri, utabaini kuwa rangi nyeupe ndiyo iliyotamalaki.
Je, kuna uhusiano wa rangi na mafanikio?
Nchi zilizoendelea zaidi Afrika ni zile zenye Wazungu au Waarabu!
Orodha ya Watanzania matajiri zaidi inaongozwa na Watanzania wenye rangi nyeupe.
Je! Mafanikio yao yamechochewa na rangi ya ngozi zao?
Suala la mafanikio ni la rangi ya ngozi au uwezo wa akili?
Mimi niaminivyo, ni akili. Labda, watu wenye rangi nyeupe wana akili kuzidi wenye ngozi nyeusi, au rangi zao zianawafanya wapendelewe na hivyo kufanikiwa kirahisi?
Tumbili mtu habari za jion?
Na akiwa mweupe halafu muislamu?Dangote mishipa yake ya fahamu imefunguliwa na Qur'an, Uislam ni mwema sana.
Hapo sasa.
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."Nchi zinazochukuliwa kuwa "the most developed in Africa" ni Mauritius, Seychelles, Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, South Africa, Gabon, Botswana, Morocco, and Mauritius.
Ukiacha Gabon, karibia nchi zote zilizotajwa hapo juu zina unasaba na Uarabu au Uzungu!
Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, na Morocco ni nchi za Kiarabu.
South Africa inafahamika, ni kwa Makaburu.
Botswana nako kuna mchango wa Uzungu. Rais wa kwanza wa Botswana, Sir Seretse Khama, mkewe alikuwa Mzungu wa Uingereza. Huwezi kuyatenganisha mafanikio yake na mchango wa mke wake. Inasemekana, yeye kama Rais wa kwanza, aliiweka misingi imara ya uongozi.
Seychelles nako wana unasaba na Wazungu.
Tukirudi Tanzania, wanaoongoza kwenye orodha ya matajiri ni Watanzania wenye ngozi nyeupe.
Ukigoogle, TOP 10 RICHEST PEOPLE IN TANZANIA utawakuta wafuatao: Mohammed Dewj,
, Rostam Aziz, Said Salim Bakhressa, Ally Awadh, Shakhar Kanabar, Fida Hussein Rashid, Shubash Patel, Yusuf Manji, Ghalib Said Mohammed, na Yogesh Manek. Ukiangalia sura za hao matajiri, utabaini kuwa rangi nyeupe ndiyo iliyotamalaki.
Je, kuna uhusiano wa rangi na mafanikio?
Nchi zilizoendelea zaidi Afrika ni zile zenye Wazungu au Waarabu!
Orodha ya Watanzania matajiri zaidi inaongozwa na Watanzania wenye rangi nyeupe.
Je! Mafanikio yao yamechochewa na rangi ya ngozi zao?
Suala la mafanikio ni la rangi ya ngozi au uwezo wa akili?
Mimi niaminivyo, ni akili. Labda, watu wenye rangi nyeupe wana akili kuzidi wenye ngozi nyeusi, au rangi zao zianawafanya wapendelewe na hivyo kufanikiwa kirahisi?
Melanin.Na akiwa mweupe halafu muislamu?
Utamu ni mind pili unakutana nazo nyeusi kuliko nyeupeNje ya mada, KE nyeusi ni tamu kuliko white.
Hatupaswi kusingizia historia juu ya kushindwa kwetu.Rangi ya ngozi haina maana yeyote maana hata Afrika wapo watu wana rangi nyeupe pee tena ya kuzaliwa, haya ni mambo ya historia yaliyobeba ustaarabu na experience za maisha.
Someni kitabu cha "Guns,Germs and Steel" cha Jared Diamond.
Hujaelewa kilichoandikwaHao wote wanapitwa na dangote mmoja tu
Maendeleo ni pesa sio rangi
Pumba tupu! Akili fupi kwelkwel! Sasa anayekutawala ni wazi amekuzidi! Tunarudi palepale.Shida sio rangi nyeusi wazungu walitawala mababu zetu kwa muda mrefu sana almost 200yrs, walitunyonya kutuua na kuiba rasimali zetu nyingi sana.
Sasa kibaya zaid wakaondoka wakatuachia maadui wawili DINI na ELIMU MBOVU YA KUKARIRI. Tukiwekeza na kuboresha elimu yetu inayoendana na mazingira yetu na kuachana na utumwa wa dini zao Waafrika tutajitambua na kuamka.
Ukisikia "unanijua mimi ni nani?", ujue:Hatupaswi kusingizia historia juu ya kushindwa kwetu.
Mkoloni aliotoa equal opportunity kwa race zote, maendeleo sio utamaduni wetu,hata sasa mbona whites wanakuja masikini wanatajjrikia huku huku Africa.Tabia za waafrika ujulikana wakiwa na pesa ni ulimbukeni kwenda mbele.
Hapo mkuu bado hauna majibu kwa nini waafrika wawe nyuma kimaendeleo, utaishia tu kutoa lawama na ndio maana humu kila mtu anatoa sababu zake ambazo zengine hata hazi make sense kuwa et ndio sababu ya sisi kuwa nyuma kimaendeleo. Na inapozungumziwa historia inakwenda mbali zaidi ya issue ya huo ukoloni hapo.Hatupaswi kusingizia historia juu ya kushindwa kwetu.
Mkoloni aliotoa equal opportunity kwa race zote, maendeleo sio utamaduni wetu,hata sasa mbona whites wanakuja masikini wanatajjrikia huku huku Africa.Tabia za waafrika ujulikana wakiwa na pesa ni ulimbukeni kwenda mbele.
Mwafrika anakuwa vipi na maendeleo kwa tafsiri ya maana ya watu wa Magharibi, maendeleo ni mfumo wa watu weupe waasisi ni wayahudi kisha wazungu then kwa mataifa mengine.Hapo mkuu bado hauna majibu kwa nini waafrika wawe nyuma kimaendeleo, utaishia tu kutoa lawama na ndio maana humu kila mtu anatoa sababu zake ambazo zengine hata hazi make sense kuwa et ndio sababu ya sisi kuwa nyuma kimaendeleo. Na inapozungumziwa historia inakwenda mbali zaidi ya issue ya huo ukoloni hapo.