Maendeleo yalifika mapema Moshi, Hongera sana Moshi

Hakuna Kabila la Wachaga wala lugha ya Kichaga bali kuna jamii mbali mbali ziishizo Mkoa mmoja ambazo zinajiita Wachaga ni kama vile Tanzania, hata hayo Makumbusho nayajua na yanahusu Wamarangu lkn hayamuhusu Mmachame!
Yanamuhusu mmarangu kwasababu umeambiwa yapo marangu hahahaaa unaniachaga hoi wewe.
Lazima utakuwa mha.
 
Kwani kuwa na kabila ndio ushenzi au haujui kinyume cha kustaarabika?

Ndiyo Kabila ni ushenzi, karne 21 tunaongelea Makabila badala ya Taifa kama siyo ushenzi ni nini? Ni wapi Dunia hii ukiondoa Afrika, Kusini mwa Sahara watu wanaongelea leo hii kuhusu Kabila?
 
Mimi sina Kabila ni Mtanzania tu kwa maana mimi nimeshastaarabika tayari!
Ni lini ulijifunza kuhusu wachaga na ulijifunzia wapi? Hivi unajua maana ya kabila? Au unatumia kigezo cha lugha tuu.? Kwa taarifa yako kama hujui mtu wa machame na wa rombo au marangu wakiongea kuna maneno yanaingiliana. Hapo mwanzoni lugha ilikua moja lakini kutokana kusambaa ikapelekea watu kua mbali na wenzao na lugha zikakua na zikabadilika kutokana na mazingira ndio ikapelekea utofauti uliopo wa lugha unaouona. Acha kubwabwaja alafu wewe utakua mpare. Nakushauri kuwa bize na nyumba ya kwako achana na nyumba za watu. Kwanini sijawahi kuona wachaga wakijifunza au wakitaka kujua kuhusu makabila mengine hapa tanzania? Si dhambi kujua kabila ambalo sii lako lakini unabisha ukweli ili usaidikeje? Ivoo
 
Ndiyo Kabila ni ushenzi, karne 21 tunaongelea Makabila badala ya Taifa kama siyo ushenzi ni nini? Ni wapi Dunia hii ukiondoa Afrika, Kusini mwa Sahara watu wanaongelea leo hii kuhusu Kabila?
Kweli ukabila ni ushenzi ila anayekataa kabila lake ni mshenzi na taahira pia sababu ni kama DNA kivipi unasema huna kabila kama ni mzima kichwani?
 
Kwa sababu hakuna kitu kama Kabila kama unataka mambo ya DNA, hayo yote mnayoyaita Makabila kabla ya kuja Wazungu au Waarabu yalikuwa hayana hayo majina kwa mfano hakuna Kabila la Wanyamwezi hao wanaojiita hivyo walibatizwa jina wkt wa Karavani ktk Kongo - Bagamoyo hata Wagogo kabla ya Karavani hakuna mtu aliyekuwa anajiita Mgogo n.k. !
 
Makabila yapo tokea enzi na enzi mpaka kwenye Bible makabila yanatajwa dunia nzima jamii zina makabila tofauti na wanatofautiana kwa lugha mavazi mila desturi sherehe vyakula miiko matambiko n.k utofauti huo ndio unaitwa kabila.

Kama walibatizwa hayo majina na wazungu hayo majina yangekuwa kwa English na sio kwa kilugha chao.
 
Ni lini ulijifunza kuhusu wachaga na ulijifunzia wapi? Hivi unajua maana ya kabila? Au unatumia kigezo cha lugha tuu.? Kwa taarifa yako kama hujui mtu wa machame na wa rombo au marangu wakiongea kuna maneno yanaingiliana. Hapo mwanzoni lugha ilikua moja lakini kutokana kusambaa ikapelekea watu kua mbali na wenzao na lugha zikakua na zikabadilika kutokana na mazingira ndio ikapelekea utofauti uliopo wa lugha unaouona. Acha kubwabwaja alafu wewe utakua mpare. Nakushauri kuwa bize na nyumba ya kwako achana na nyumba za watu. Kwanini sijawahi kuona wachaga wakijifunza au wakitaka kujua kuhusu makabila mengine hapa tanzania? Si dhambi kujua kabila ambalo sii lako lakini unabisha ukweli ili usaidikeje? Ivoo

Kabila maana yake ni watu wa aina moja wenye utamaduni mmoja na wanaongea Lugha moja! Kama swala ni maneno kuingiliana sisi wote ni Wabantu na maneno yetu yanaingiliana pia, kwa mini Wapare hawaitwi Wachaga? Au kwa nini Wameru hawaitwi Wachaga lkn Wamachame wanaitwa Wachaga wkt Mmachame anaelewana na Mmeru klk anavyoelewana na Mrombo?
Mbowe anaweza kuongea na Slaa lkn hawezi kuongea na Selasini wa Rombo, ni kwa nini?
 
Makabila yapo tokea enzi na enzi mpaka kwenye Bible makabila yanatajwa dunia nzima jamii zina makabila tofauti na wanatofautiana kwa lugha mavazi mila desturi sherehe vyakula miiko matambiko n.k utofauti huo ndio unaitwa kabila.

Kama walibatizwa hayo majina na wazungu hayo majina yangekuwa kwa English na sio kwa kilugha chao.

Wewe mwenyewe umeshasema enzi na enzi sasa kwa nini ninyi bado mnayatmia wkt Dunia nzima imeshaachana nayo? Kwanza hivi unafahamu kwamba neno tribe ni neno negative na hutumiwa tu Wazungu wanapomuongelea Muafrika mweusi? Neno tribe ni kama nigga ni negative maana yake ni mtu ambaye hajastaarabika bado na ndiyo maana hutumiwa Afrika tu hakuna sehemu nyingine wanakotumia neno tribe!
 
Ndiyo Kabila ni ushenzi, karne 21 tunaongelea Makabila badala ya Taifa kama siyo ushenzi ni nini? Ni wapi Dunia hii ukiondoa Afrika, Kusini mwa Sahara watu wanaongelea leo hii kuhusu Kabila?

Bila shaka wewe ni mgogo na unalionea aibu kabila lako.. Najivunia kuwa mchaga
 
Ila tuacheni wivu wachaga wako fit kila idara na wameendelea sio siri me nimesoma pande za uko nejionea
 
Ni kweli moshi kila kijiji ukienda kina lami hadi mjini.afu vijiji vya huku moshi hamna tembe wala mbavu za mbwa kila kijiji ni town
Mkuu unazungumzia Moshi au Kilimanjaro?[emoji15] [emoji15] [emoji15]. Sina hakika kama umeizunguka Kili yote.
 
Labda mwandishi angesema makabila kusini mwa jangwa la SAHARA. Waarabu je? Misri, Libya, Morocco, Tunisia, Sudan
 
Wewe mwenyewe umeshasema enzi na enzi sasa kwa nini ninyi bado mnayatmia wkt Dunia nzima imeshaachana nayo? Kwanza hivi unafahamu kwamba neno tribe ni neno negative na hutumiwa tu Wazungu wanapomuongelea Muafrika mweusi? Neno tribe ni kama nigga ni negative maana yake ni mtu ambaye hajastaarabika bado na ndiyo maana hutumiwa Afrika tu hakuna sehemu nyingine wanakotumia neno tribe!
Me wala sio mchagga alafu hayo yote uliyoongea ni pumba tupu.
Wazungu nao wana makabila.
 
Mbona wamaasai hawajajisifia...ingawa wapo kwenye orodha na ni popular zaidi ya hao wachagga
Hahaha wa nane kajisifia, wa pili kanyamaza. Inaonekana wa nane kabahatisha tu[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom