Maendeleo yalifika mapema Moshi, Hongera sana Moshi

Maendeleo yalifika mapema Moshi, Hongera sana Moshi

Hakuna Kabila la Wachaga Dunia hii, ila kuna kundi la Watu wanaojiita au waliobatizwa jina la Wachaga lkn siyo Kabila kwa maana hawana uhusiano wowote ule!

Kada mbona inakuuma sana?? Hamuwezi kuwagawa wachagga.. Walishaamua wao waitwe wachagga sasa wewe povu la nini
 
eti mmefanyie inchi?? hopeless people ever!! ndio maana kila kona eti kwetu kuna umeme mpaka kijini, mara maji mara barabara. sasa muwe wapole wakati wenu ulipita sasa hivi zamu yawengine. kwetu tunatembea angani au tunakunywa vinyesi au!! mbona fikira fupi hivyo
...we don need to hope coz we hv them all, we ukiwa unajadili huu upupu sisi tunatekeleza an extra mile mind

Na ndo maana Sa hv mnalialia Tu, ss wala hatuhitaji msaada wowote ule.
 
Hata elfu ilianzia moja... Ukabila na ukanda mtaupalilia hadi umee ili watoto wenu waishi maisha ya kuhitilafiana kama wakabila wengineo duniani.....


Na pia nawasihi watanzania wenzangu kuacha tabia ya kutumia nguvu nyingi kuzipinga jamii zilizoendelea kwa kuwa kujifunza kutoka kwao ni njia sahihi NA yenye manufaaa....

Mimi ni mtanzania daima
 
Hiyo haisemi chochote kwani imeandikwa na mtu asiye na common sense kama wewe ni Kama vile pia husema the Zanzibari people je kuna kabila la Wazanzibari? Lkn huandikwa kila mahali Zanzibari people!
Wewe mwenye Common Sense kaandike ya kwako..

Bwahahahaha. .. .
 
hahahaha kuna watu wanatokwa na mapovu humu.ndani hawajielew kbs hawajui wachaga ndo wamebeba uchumi wa tanzania nzima
ukimzungumzia mchaga kwa hapa tanzania ni.kama umemzungumzia jews huko ulaya na marekan walvyo.na maendeleo
 
...
Hiyo haisemi chochote kwani imeandikwa na mtu asiye na common sense kama wewe ni Kama vile pia husema the Zanzibari people je kuna kabila la Wazanzibari? Lkn huandikwa kila mahali Zanzibari people!
U must sick, siyo bure, Asante kwa Ku disclose IQ yako
 
kwa mnaokashifu poleni live withn ur means ridhika na huko ulipo
sisi tumeridhika kuitwa wachaga
 
mmh...hii bongo bhanaa mbona Moshi ya kawaida sanaa...japokua wamepiga hatua kidogo ila sio kivilee
 
kabila nililokuwa nalichukia kwa kuendekeza kujisifia bila sababu lilikuwa ni la wahaya sasa leo kwa mara ya kwanza rasmi naongeza la wachagga nachukia mtu mwenye kuendekeza sifa za ukabila
 
kabila nililokuwa nalichukia kwa kuendekeza kujisifia bila sababu lilikuwa ni la wahaya sasa leo kwa mara ya kwanza rasmi naongeza la wachagga nachukia mtu mwenye kuendekeza sifa za ukabila
Mkuu Wachagga hawajisifii ila Dunia ndo inatambua uwepo wao kama moja ya Nakabila Maarufu Afrika yenye ushawishi wa hali ya juu..
 
Mkuu Wachagga hawajisifii ila Dunia ndo inatambua uwepo wao kama moja ya Nakabila Maarufu Afrika yenye ushawishi wa hali ya juu..
dunia gani mkuu?
ushawishi kwenye nyanja gani
ni aibu sana kwenye 21th century bado una ukaburu wa kikabila
 
Back
Top Bottom