Maendeleo yalifika mapema Moshi, Hongera sana Moshi

sorry mm naomba kuuliza u famous wa kabila la kichaga unatokana na nini
1.halipo kwenye kabila kubwa Tanzania ambapo hapa ni Wasukuma
2.halipo kwenye kabila kubwa la walio soma sana-hapa kuna wahaya
3.halipo kwenye kabila la watu wajasiri-hapa kuna wakurya na wamasai
4.Halipo kwenye wafanyabiashara wakubwa -hapa kuna Wakinga

Wachagga hawaitaji analyisis ya punguani ....Dunia ndo inawatambua
 
Kweli wewe ndezi yaani hao Wakinga biashara wameanza juzi leo hii lishakuwa Kabila kubwa la kibiashara kuzidi Wachagga. Na hapo kwenye Wahaya embu lete statistic za idadi ya shule na hali ya elimu huko Kagera/Bukoba.
kasome historia
 
sorry mm naomba kuuliza u famous wa kabila la kichaga unatokana na nini
1.halipo kwenye kabila kubwa Tanzania ambapo hapa ni Wasukuma
2.halipo kwenye kabila kubwa la walio soma sana-hapa kuna wahaya
3.halipo kwenye kabila la watu wajasiri-hapa kuna wakurya na wamasai
4.Halipo kwenye wafanyabiashara wakubwa -hapa kuna Wakinga
hehehehehe we jamaa unachekesha sana.. Yaani unafananisha Mchagga na Mkinga kwenye biashara?? Mkinga anafanya biashara gani? Ile ya uchukuzi pale Kariakoo ambako wachagga washaachana nayo na sasa wako one step ahead of that..

Ebu nitajie Mkinga yeyote anayefanya biashara za kueleweka kama MENGI - IPP & List of other companies, MICHAEL SHIRIMA - PRECISION AIR, ERNEST MASSAWE - ERNEST & YOUNG T PARTNER, TANZANIA SECURITIES LIMITED, MINING, ERNCON HOLDING LTD (hapa anamiliki biashara nyingi ikiwema hisa nyingi tu Akiba Commercial Bank, Swala Energies, Hotels na utitiri wa Investment)

Ebu angalia wamiliki wa Swala Energies alafu hesabu wakinga na wachagga hapo..
swala.png

Na sio hapo tu, Pale Dar Es Salaam Stock Exchange kumejaa majina ya wazungu, wahindi na wachagga tu.. Hivi Mkinga ukimtoa hapo Dar Kariakoo yupo wapi tena?? Ukimtoa kwenye biashara ya maduka yupo sehemu gani ingine ya maana?? Wachagga pia tumekamata sekta muhimu sana kama TBL na CRDB.. Huko kote wamejaa wachagga..

Sasa twende kwenye kukujibu maswali yako uliyoorodhesha hapo juu moja baada ya lingine..

1. Kwenye ukubwa ni kwamba ukubwa wa pua si wingi wa kamasi.. Wachina wako watu Billion lakini hawana maisha mazuri wala hawajaweka hazina ya kulisha mpaka kizazi cha kesho ukilinganisha na Norway ambayo mpaka Mjukuu tayari nchi imeshaweka pesa yake bank.. Norway Population yake ni watu Million 5 pekee.. Hapa mchagga kwenye population tunawapa 3*

2. Kwenye kusoma wachagga ina wasomi wengi tu na ili uonekane umeelimika basi pia na jamii unayoishi lazima ionekane kuelemika.. Bukoba barabara mjini ni vumbi tupu, huko vijijini ndio balaa.. Kagera ipo miongoni mwa mikoa maskini sana Tanzania. Je, elimu mnayosema imewasaidia nini?? Wahaya ni Smart Individually na sio kwamba Kabila kama Kabila.. Wachagga kabila kama kabila wako vyema kielimu.. Hakuna Chuo chochote kikuu Tanzania utaenda ukakosa atleast Lecturers kuanzia watatu wa kichagga as pia lazima utawakuta wahaya. Pia, wachagga hawapendelei sana elimu ya vyeti kujaa kwenye sanduku.. Wengi wakipata elimu ya kujitambua tu basi wanafanya kile ambacho kitawasaidia.. Mind u Bill Gates, Steve Jobs hawakuwa na mavyeti rundo na sifa za Uproffesiri. Kuhusu elimu wachagga na wahaya naona ni ngoma draw.. Wote nawapa 5*

3. Ujasiri upi unaongelea mkuu? Kama ni ambao definition yake ni nguvu ya kulikabili jambo usilolijua basi hapa wachagga ni majasiri pia either kuwa sambamba na hao uliowataja au kuwa zaidi yao. Ujasiri sio ubishi au kupiga mke au kufanya mambo ya kutisha.. Hata kuacha shule ukiwa na pass mark nzuri tu na kwenda kufanya biashara au ujasiriamali ni ujasiri. Hata kukikataa chama tawala kwa miaka mingi na kuchagua wapinzani pamoja na vita vyote wachagga wanavyopigwa kutoka serikalini ni Ujasiri. Hao wakurya na Ujanja wao wote ujasiri tumewapa sisi kwa kuwapelekea chama mbadala cha siasa. Vyama vilivyowahi kuwa tishio kwa CCM, CDM na NCCR vina mkono wa Mchagga.. Huo ni ujasiri wakati wengine wakikumbatia chama tawala wao wanatoka kivyao.. Kwenye Ujasiri mchagga hapa hakosi 5*

4. Nadhani kwenye wafanyabiashara wakubwa hapo hakuna ubishi..

Kwa kumalizia sasa ni kwamba kutokana na hayo yote utajionea wachagga ni the most complete tribe.. Yaani kote kote tupo na tunawakilisha vyema tu.. Hata akiangalia Top Ten za watahiniwa bora miaka yote form four na six hukosi jina la Mchagga..
 
Moshi ni.miongoni mwa maeneo ambayo watu wameendelea sana
Ingalikua maendeleo yanapimwa kwa mikoa Kw level ya kimataifa basi moshi na wachaga wangeingia kwenye orodha ya developed people
Umeme maji shule tangu enzi za mjerumani
wakati wengine umeme na maji.mpaka leo hawajawahi kuona
Ni jambo.la kujivunia na kutembea kifua mbele kuhusu moshi yetu
Na watanzania tuige mfano kwa watu wa.moshi
AIKA MBE NA MA

Top 10 Most Famous African Tribes
Africa has an estimated total of 3,000 tribes, all of which incredibly vary in terms of language and culture. The continent itself might have evolved greatly in the past two millennia, but tribal influences continue to be a dominant force in most parts. And even though the split-up between tribes has lessened over the years, tribal affiliations still stand as a prevailing source of pride among the natives. With that in mind, let’s briefly look at the 10 most popular tribes in Africa tribes:
1. Zulu
Zulu is unequivocally the most popular tribe in Africa—for a number of good reasons. First, we have the Shakaland, which is acknowledged worldwide as the birth place of the Legendary chief, Shaka Zulu. Secondly, Zulu is also acknowledged for being the largest ethnic group in South Africa, with an estimated population of 11 million people.

2. Maasai
Maasai is the second most popular African tribe after Zulu, and it’s mainly because of its deeply rooted traditions and culture. Even when a great majority of African tribes are adopting a modern lifestyle, Maasais still live in Bomas and nomadically move around with large herds of cattle for a living. They mainly feed on meat, drink raw blood, and can be spotted anywhere in East Africa—especially Kenya–wearing Shukas and exceptional beaded jewels.

3. San Bushmen
If you thought everything in “The gods must be crazy” film was all acted up, then wait until you observe the daily lives of the San Bushmen. To begin with, this is the tribe that consists of people who have inhabited Western Botswana and Makgadikgadi pans for centuries. That’s to say they’ve literally survived living in an arid area, which has no drop of water to be spotted anywhere. And not only do they depend on setting animal traps for feeding, but also feed on tubers and roots. Dressed in loincloths, the tribesmen swing bows and arrows on their shoulders, as they lead the way and factually make tobacco from zebras’ dung.

4. Yoruba
Yoruba is undeniably the largest ethnic group in Africa, with a population estimate at about 35 million people in total. They mainly occupy the South Western sides of Nigeria, as well as Southern Benin, with a great majority coming from Nigeria.

5. Xhosa
All across the Eastern-Cape-Province of South Africa, you are likely to come across millions of people who speak with literal click sounds–the Xhosa people. Actually, Xhosa has a number of sub tribes that encapsulate it: Mpondo, Xesibe, Mpondomise, Thembu, Bhaca and Mfengu, with Mpondo being the most popular among them.

6. Hausa
The Hausa are one of the largest ethnic groups in Africa, as well as the largest in West African. In fact, it’s not only a racially diverse ethnic group in Africa, but culturally homogenous as well, encircling the people in the Sudanian and Sahelian areas of South-eastern Niger and Northern Nigeria, with a significant number living in Chad, Togo, Cote d’Ivoire, Sudan and Ghana. They have a restricted dress code: elaborate dresses for men with striking embroideries around the neck, and colourful caps commonly referred to as fula. For Hausa women, there’s the abaya wrapper, which consists of a colourful wrap cloth, a matching blouse, a shawl and a head tie.

7. Himba
Himba tribe, found in Northern Namibia—Kunene region, is basically made up of semi-nomadic pastoralists that comprises of approximately 20, 000 to 50, 000 aboriginals. They are famously known as the “Red People of Africa,” since they use red paste called otjize—a mixture of butter and red clay–to paint themselves red. Also noted in their village is the holy fire (Okuruwo), which is continuously kept alive to represent the ancestors who help them mediate with their God, Mukuru.

8. Oromo
The Oromo tribe is made up of people who inhabit the Southern part of Ethiopia, Northern Kenya and some parts of Somalia. It’s considered the largest ethnic group in Ethiopia, which accounts for about 35% of Ethiopia’s population. Basically, the Oromos speak Oromo Language—which is considered a Cushitic version of the Afro-Asiatic lingo.

9. Kalenjin
If you’re a serious fan of athletics, then you definitely know a word or two about this African tribe from the Western Highlands of Kenya. Originally, Kalenjins were referred to as the “Nandi speaking tribe” until early 1950s when they officially adopted the name Kalenjin. Since then, the tribe has consistently been giving birth to elite Marathon runners, making it one of the most popular tribes worldwide as far as athletics is concerned.

10. Chaga
Closing the list is the Chaga tribe from Tanzania. Traditionally, this tribe inhabit the Eastern slopes of Mount Meru and Mount Kilimanjaro, and are mainly concentrated around Moshi in Tanzania. In Tanzania, they are regarded as the first tribe to embrace Christianity during the colonial times, which in turn gave them a better access to advanced health care and education in Tanzania.

Kweli Kabisa.
Hongera sana mleta mada
 
hehehehehe we jamaa unachekesha sana.. Yaani unafananisha Mchagga na Mkinga kwenye biashara?? Mkinga anafanya biashara gani? Ile ya uchukuzi pale Kariakoo ambako wachagga washaachana nayo na sasa wako one step ahead of that..

Ebu nitajie Mkinga yeyote anayefanya biashara za kueleweka kama MENGI - IPP & List of other companies, MICHAEL SHIRIMA - PRECISION AIR, ERNEST MASSAWE - ERNEST & YOUNG T PARTNER, TANZANIA SECURITIES LIMITED, MINING, ERNCON HOLDING LTD (hapa anamiliki biashara nyingi ikiwema hisa nyingi tu Akiba Commercial Bank, Swala Energies, Hotels na utitiri wa Investment)

Ebu angalia wamiliki wa Swala Energies alafu hesabu wakinga na wachagga hapo..
View attachment 374622

Na sio hapo tu, Pale Dar Es Salaam Stock Exchange kumejaa majina ya wazungu, wahindi na wachagga tu.. Hivi Mkinga ukimtoa hapo Dar Kariakoo yupo wapi tena?? Ukimtoa kwenye biashara ya maduka yupo sehemu gani ingine ya maana?? Wachagga pia tumekamata sekta muhimu sana kama TBL na CRDB.. Huko kote wamejaa wachagga..

Sasa twende kwenye kukujibu maswali yako uliyoorodhesha hapo juu moja baada ya lingine..

1. Kwenye ukubwa ni kwamba ukubwa wa pua si wingi wa kamasi.. Wachina wako watu Billion lakini hawana maisha mazuri wala hawajaweka hazina ya kulisha mpaka kizazi cha kesho ukilinganisha na Norway ambayo mpaka Mjukuu tayari nchi imeshaweka pesa yake bank.. Norway Population yake ni watu Million 5 pekee.. Hapa mchagga kwenye population tunawapa 3*

2. Kwenye kusoma wachagga ina wasomi wengi tu na ili uonekane umeelimika basi pia na jamii unayoishi lazima ionekane kuelemika.. Bukoba barabara mjini ni vumbi tupu, huko vijijini ndio balaa.. Kagera ipo miongoni mwa mikoa maskini sana Tanzania. Je, elimu mnayosema imewasaidia nini?? Wahaya ni Smart Individually na sio kwamba Kabila kama Kabila.. Wachagga kabila kama kabila wako vyema kielimu.. Hakuna Chuo chochote kikuu Tanzania utaenda ukakosa atleast Lecturers kuanzia watatu wa kichagga as pia lazima utawakuta wahaya. Pia, wachagga hawapendelei sana elimu ya vyeti kujaa kwenye sanduku.. Wengi wakipata elimu ya kujitambua tu basi wanafanya kile ambacho kitawasaidia.. Mind u Bill Gates, Steve Jobs hawakuwa na mavyeti rundo na sifa za Uproffesiri. Kuhusu elimu wachagga na wahaya naona ni ngoma draw.. Wote nawapa 5*

3. Ujasiri upi unaongelea mkuu? Kama ni ambao definition yake ni nguvu ya kulikabili jambo usilolijua basi hapa wachagga ni majasiri pia either kuwa sambamba na hao uliowataja au kuwa zaidi yao. Ujasiri sio ubishi au kupiga mke au kufanya mambo ya kutisha.. Hata kuacha shule ukiwa na pass mark nzuri tu na kwenda kufanya biashara au ujasiriamali ni ujasiri. Hata kukikataa chama tawala kwa miaka mingi na kuchagua wapinzani pamoja na vita vyote wachagga wanavyopigwa kutoka serikalini ni Ujasiri. Hao wakurya na Ujanja wao wote ujasiri tumewapa sisi kwa kuwapelekea chama mbadala cha siasa. Vyama vilivyowahi kuwa tishio kwa CCM, CDM na NCCR vina mkono wa Mchagga.. Huo ni ujasiri wakati wengine wakikumbatia chama tawala wao wanatoka kivyao.. Kwenye Ujasiri mchagga hapa hakosi 5*

4. Nadhani kwenye wafanyabiashara wakubwa hapo hakuna ubishi..

Kwa kumalizia sasa ni kwamba kutokana na hayo yote utajionea wachagga ni the most complete tribe.. Yaani kote kote tupo na tunawakilisha vyema tu.. Hata akiangalia Top Ten za watahiniwa bora miaka yote form four na six hukosi jina la Mchagga..
Fisadi kuu, you seem to be too selfish!!
Umeandika paragraphs over paragraphs,
But there was no need for that,
Besides,
We are all Tanzanians, lakini hii haiondoi makabila yetu ambayo ndio asili zetu ambazo ndio tamaduni zetu zilizotuunganisha tukaishi kama ndugu..Good thing jamii ya kichaga imejitahidi kusogea mblele kimaendeleo na kielimu, yapo mengi mazuri ya kujifunza kwa hawa wenzetu.

Mimi huwa sipendelei kuita 'tribe' badala yake natumia neno 'jamii' naona inamake sense zaidi..
Mnasema chagas mmeendelea(which may be true indeed),
Hivyo kulikuwa na haja gani ya kujisifia,?
What I know taifa kubwa halihitaji kujitangaza na wala halihitaji kutumia nguvu njingi kuaminisha wengine ukubwa wake..
Hiyo ni Tabia ya Woga na Kutojiamini.
Naona umemention kuwa uliwapelekea chama watu gani sijui. 'Nonsense', there was no need for that, kama jamii yako imeendelea as you claim basi ni wajibu wenu kuzisaidia jamii nyingine zifikie hiyo hatua.

Obviously majivuno na selfish huondoa reputation..(mark my words)
Umeorodhesha baadhi ya watu waliofanikiwa within your society, (learn something common in them), they MUST BE VERY HUMBLE!!! I am sure!!
Maana ajikwezae hushushwa na ajishushae hukwezwa..
Na kwakweli sioni mantiki ya Tajiri kujisifu kwa maskini, (for what???)

Elimu mliyoipata kama mnavyodai, tuone matunda yake kwenye civilization..
Na civilization is Not this Kind of pride,
And these things happens only in fearing people, who shouldn't be you..
Ukijifunza zaidi utaelewa what is hidden behind unyenyekevu na kuepuka majivuno.

Thanks!!
 
Kamba,Kikuyu, Hehe, Nubi, Nyamwezi etc...the top 10 does not reflect reality...
 
...asante sana muanzisha thread hii kwa kudhihirisha wazi jinsi gani ulivyo na "IQ" ndogo...
Hata lini mtaukubali ukweli?
Hata kama wewe ni mgogo ufike wakati ukubali ukweli...hata nami sio mchaga but huu ni ukweli mtupu
 
K
Sina haja ya kujifunza ni swala la common sense tu kwamba hakuna kabila wala Lugha ya Kichaga!
Kwamba kuna kabila na lugha ya Kimachame,Kimarangu, Ki-Old Moshi n.k? Kama hawasikilizani basis sio kabila la wachaga.
 
Yaani wachaga ni tatizo sana,huyu mleta mada ni kielelezo cha moja ya matatizo ya baadhi ya wachaga
Kasahau tu kujisifia kuwa pamoja na ukabila lakini ni wezi sana
 
Mbali na yote niambie ni Kabila gan hambalo hakuna wezi kila mahali kuna wez sema kila kwenye maendeleo mchaga yupo na nadhan ndo Kabila lililoendelea kuliko makabila yote
 
Fisadi kuu, you seem to be too selfish!!
Umeandika paragraphs over paragraphs,
But there was no need for that,
Besides,
We are all Tanzanians, lakini hii haiondoi makabila yetu ambayo ndio asili zetu ambazo ndio tamaduni zetu zilizotuunganisha tukaishi kama ndugu..Good thing jamii ya kichaga imejitahidi kusogea mblele kimaendeleo na kielimu, yapo mengi mazuri ya kujifunza kwa hawa wenzetu.

Mimi huwa sipendelei kuita 'tribe' badala yake natumia neno 'jamii' naona inamake sense zaidi..
Mnasema chagas mmeendelea(which may be true indeed),
Hivyo kulikuwa na haja gani ya kujisifia,?
What I know taifa kubwa halihitaji kujitangaza na wala halihitaji kutumia nguvu njingi kuaminisha wengine ukubwa wake..
Hiyo ni Tabia ya Woga na Kutojiamini.
Naona umemention kuwa uliwapelekea chama watu gani sijui. 'Nonsense', there was no need for that, kama jamii yako imeendelea as you claim basi ni wajibu wenu kuzisaidia jamii nyingine zifikie hiyo hatua.

Obviously majivuno na selfish huondoa reputation..(mark my words)
Umeorodhesha baadhi ya watu waliofanikiwa within your society, (learn something common in them), they MUST BE VERY HUMBLE!!! I am sure!!
Maana ajikwezae hushushwa na ajishushae hukwezwa..
Na kwakweli sioni mantiki ya Tajiri kujisifu kwa maskini, (for what???)

Elimu mliyoipata kama mnavyodai, tuone matunda yake kwenye civilization..
Na civilization is Not this Kind of pride,
And these things happens only in fearing people, who shouldn't be you..
Ukijifunza zaidi utaelewa what is hidden behind unyenyekevu na kuepuka majivuno.

Thanks!!
Mkuu umeniattack bure kabisa.. Yani bure tu, Mimi nilichofanya ni kumjibu huyo jamaa maswali yake na kumwekea vielelezo thabiti..

Ustaarabu labda mnakosa nyie ambao kila kukicha ni ku'attack wachagga kwa maneno mabaya.. Yaani mtu ukisema kabila lako limefanikiwa katika nyanja flani flani ndio unakuwa sio mstaarabu? Je, wewe nikuwekee mabandiko yako uliyoandika humu humu JF kuwasemea mbovu wachagga??
 
10. Chaga
Closing the list is the Chaga tribe from Tanzania. Traditionally, this tribe inhabit the Eastern slopes of Mount Meru and Mount Kilimanjaro, and are mainly concentrated around Moshi in Tanzania. In Tanzania, they are regarded as the first tribe to embrace Christianity during the colonial times, which in turn gave them a better access to advanced health care and education in Tanzania.
hahahaha hii njema sana. Kuzaliwa mchaga ni neema ya Mungu atii alaah!!!
 
Sina haja ya kujifunza ni swala la common sense tu kwamba hakuna kabila wala Lugha ya Kichaga!
hahaha najua unatamani ungezaliwa uchagani ila ndo hivo tu haikupangwa ..wakati wazazi kwetu wanatupeleka shule na kanisani, nyie mlikuwa mnapelekwa kucheza ngoma na kutairiwa bila ganzi eti ndo ushujaa, sasa unaona tunasonga mbele kwenye kila idara unaleta mawivu yako yasiyo na mbele wala nyuma, njoo tukufundishe namna ya kutunza pesa ili na wewe ufanikiwe...sawaaa
 
Back
Top Bottom