Maendeleo yalifika mapema Moshi, Hongera sana Moshi

Maendeleo yalifika mapema Moshi, Hongera sana Moshi

.
yaani nyinyi Ukabira utawatafuna sana!! yaani kila kitu mnaangalia kiukabira !! upuuzi sana huu hebu fanyeni mambo kwa fikira pana mkuu ukabira kaz yake ni matambiko tu mbona akiri zenu finyu
..haha, eti utatutafuna, nenda kajifunze kwanza kutofautisha "r" Na "l" angalau uonekane zimo basi
 
.
..haha, eti utatutafuna, nenda kajifunze kwanza kutofautisha "r" Na "l" angalau uonekane zimo basi
nyiee endelezeni mambo ya kijinga tu mtasubiri sanaa!! kila kitu chagga! so what?? ujinga tu fanyeni mambo kwa mapana bhana
 
Ili kujua kweli wanaushawishi, subiri uone huu vile utakuwa mrefu, regardless for good or bad comments
 
...na hichi ndo huwa kinawaletea chuki, kazi Ku dis wenzao Tu vibarazani
 
Ni kweli moshi kila kijiji ukienda kina lami hadi mjini.afu vijiji vya huku moshi hamna tembe wala mbavu za mbwa kila kijiji ni town
 
Back
Top Bottom