Maendeleo yalifika mapema Moshi, Hongera sana Moshi

Maendeleo yalifika mapema Moshi, Hongera sana Moshi

Nilichomaanisha hao unaowaita Wachaga hawahusiani kwa chochote yaani kwa mfano Mkibosho hana uhusiano na Mrombo n.k.!
Mkibosho na Mmachame ni kama maadui hivi. Mmarangu na Mrombo nao haziivi sana.
 
Mkibosho na Mmachame ni kama maadui hivi. Mmarangu na Mrombo nao haziivi sana.
Me naonaga kama mmachame na mmeru ndio haziivi ila nasikia walikua wamoja hata wapare walikua ni wachagga wakatifuana mpaka wakakimbia na ninasikia mmachame hawezi kujenga nyumba mlango ukaangalia kwa wameru sijui hii ni kweli wakina mangi?
 
MTAPATA PRESSURE BURE . ETI WACHAGA FYUUUUUUU. HOVYOOOOOO
 
acheni kutapika na kubwata humu wachaga mbele mbele mtaisoma
jitafuteni na mjiulize mlikosea wapi sio kuwakashifu wachaga
wachaga wapo na wataendelea kuwepo.poleni
 
yaani nyinyi Ukabira utawatafuna sana!! yaani kila kitu mnaangalia kiukabira !! upuuzi sana huu hebu fanyeni mambo kwa fikira pana mkuu ukabira kaz yake ni matambiko tu mbona akiri zenu finyu
Nafikiri wamekusikia ewe mwenye akili na fikra tele!
 
alieyeandika hiyo encyclopedia sio mchagga kwa hiyo kaandika utumbo mtupu.....ukweli ndo huu njoo museum ya wachagga iliuoko marangu ujifunze asili ako
kwa hiyo marangu ndio craddle of civilization nhuhuhuuu Kick zingine
 
sorry mm naomba kuuliza u famous wa kabila la kichaga unatokana na nini
1.halipo kwenye kabila kubwa Tanzania ambapo hapa ni Wasukuma
2.halipo kwenye kabila kubwa la walio soma sana-hapa kuna wahaya
3.halipo kwenye kabila la watu wajasiri-hapa kuna wakurya na wamasai
4.Halipo kwenye wafanyabiashara wakubwa -hapa kuna Wakinga
 
B
kabila nililokuwa nalichukia kwa kuendekeza kujisifia bila sababu lilikuwa ni la wahaya sasa leo kwa mara ya kwanza rasmi naongeza la wachagga nachukia mtu mwenye kuendekeza sifa za ukabila
We Dada vipi!acha wivu basi kwani umelazimishwa kuamini ?hizo ni tafiti punguza wivu tafuta bwana wa kichagga utulie
 
Ila wachagga wapo juu hongereni sana metapakaa kila kona na ni wachapa kazi sana.
Ewaaaaaaa!wewe umeelewa maana ya ushawishi unaozungumziwa hapa.wachagga wametapakaa kila sehemu na alipo mchagga huchochea maendeleo ndio maana wamewekwa kwenye hiyo top 10..sasa kina mbwiga mmoja eti anauliza mbona ni wachache mara hawajasoma mara sio wajasiri kha!
 
sorry mm naomba kuuliza u famous wa kabila la kichaga unatokana na nini
1.halipo kwenye kabila kubwa Tanzania ambapo hapa ni Wasukuma
2.halipo kwenye kabila kubwa la walio soma sana-hapa kuna wahaya
3.halipo kwenye kabila la watu wajasiri-hapa kuna wakurya na wamasai
4.Halipo kwenye wafanyabiashara wakubwa -hapa kuna Wakinga
Oppii
 
Kweli wewe ndezi yaani hao Wakinga biashara wameanza juzi leo hii lishakuwa Kabila kubwa la kibiashara kuzidi Wachagga. Na hapo kwenye Wahaya embu lete statistic za idadi ya shule na hali ya elimu huko Kagera/Bukoba.
 
Back
Top Bottom