Jinga kabisaMaendeleo ya watu ndo kila kitu ,unajenga reli ambayo haina faida kwa nchi, unarudia uchaguzi asubui na jion Rais asiyekuwa na uwezo ndo anafanya hayo.
Marndeleo yako unayaleta mwenyewe. Serikali kazi yake ni kukujengea mazingira ya wewe kuweza kufanya maendeleo yako kwa uraisMaendeleo ya watu ndo kila kitu ,unajenga reli ambayo haina faida kwa nchi, unarudia uchaguzi asubui na jion Rais asiyekuwa na uwezo ndo anafanya hayo.
Msiongee kama msiokuwa na akili, hivi maendeleo ya watu ni yapiMaendeleo ya watu ndo kila kitu ,unajenga reli ambayo haina faida kwa nchi, unarudia uchaguzi asubui na jion Rais asiyekuwa na uwezo ndo anafanya hayo.
Msiongee kama msiokuwa na akili, hivi maendeleo ya watu ni yapi
Hakuna asiyetaka mabadiliko ya uongozi kama yanaambatana na mabadiliko chanya. Ni msingi huo huo Rais amekuwa akiwatumbua viongozi wasiotimiza matarajio ya nafasi zao.Kimsingi jamaa yupo vizuri kwa mtazamo wake na vipaumbele vya ilani ya chama chake, Ila kutokana na malighafi nyingi tulizonazo inatakiwa tupate kiongozi atakae fumua mfumo w elimu iliyopo kwa sasa ambayo si rafiki Sana kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja.
Tukifanikiwa kutoa elimu itakayomfanya Kila mhitimu aweze kujitegemea na kuwa na uwezo wa kugundua fursa katika eneo lake itakuwa poa Sana, apo serikali kazi yake itakuwa ni kuwaendeleza na kuwatafutia masoko kwakile kinacho zalishwa.
Kwa kumalizia ni vyema nchi yetu ikafanya mabadiliko kwenye uongozi hiki chama kimoja hakitatufikisha kule tunakotarajia kwenda,inatakiwa siku moja wakae pembeni wajifunze kwa wenzao ili wakirudi Tena watajifunza kufuata ushauri wa wananchi Kama mtoa mada hapo juu!!
Una akili ndogo, na fikra ndogo Sana. Mungu kwenye uumbaji alianza mtu au vitu ndio akamleta mtu kuwa in charge?.Maendeleo ya watu ndo kila kitu ,unajenga reli ambayo haina faida kwa nchi, unarudia uchaguzi asubui na jion Rais asiyekuwa na uwezo ndo anafanya hayo.
Kwani mkuu, mwendokasi ikikuwahisha kkoo ukafanya mishe zako ukapata mpunga wako sio kitu hicho?.Maendeleo ya vitu ni lzm yaguse watu
Ukitaka kujua chama cha Mbowe, kitalifanyia nini taifa angalia Mbowe anavyokibagaza chama chake ndio utajua kwanini manyumbu wana akili isiyo na akili hata Moja.Lisu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu
Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu
Mimi na WaTz wenye hoja ya kujua maendeleo ya watu yataletwaje bila maendeleo ya vitu, tunasubiri lala salama ya kampeni ya mgombea Urais kupitia CHADEMA, atufafanulie. Asipofanya hivyo, akate tamaa na ataisikia Ikulu mpya ya Dodoma kwenye TV tu.Lisu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu
Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu
Mwendokasi inagusa watu, ni maendeleo ya vitu yanayogusa watu. Yaani yawe lengo ni kugusa watu kwa kuangalia economic of scale. Si sawa na kutumia zaidi ya tilioni moja kununua ndege ambazo uajiri watu 404 na wawezao kumudu kupanda ndege tz nzima ni watu milioni moja.Kwani mkuu, mwendokasi ikikuwahisha kkoo ukafanya mishe zako ukapata mpunga wako sio kitu hicho?.
Africa is fighting independence for the second time everywhere. This indigenous colonialists like maccm represent the worst form of colonialism, because they can camouflage as if they have the best interest of people.Yanategemeana bila kujenga barabara miji itapanuka polepole bila kuwa umeme wakutosha kukiwa na migao ya umeme unarudisha biashara zinazotumia umeme nyuma watu wanakosa mapato bila hospitali watu wanaishi kwa afya mbovu bila miradi ya maJi watu wanapoteza muda kupata maji na kufikiria anapata wap maji ya kutumia badala ya kuwaza mawazo ya kimaendeleo au kufanya na hii miradi inasaidia pia kukuza ajira sababu waendeshaji ni sisi sisi wa tz hii ni mada chonganishi kutoka kwa wapinzani ila ukikaa chini ukawaza inasaidia sana ni nyenzo za kimaendeleo
Hao watu million 1 siyo watanzania wanaohitaji huduma kutoka kwenye serikali yao?Mwendokasi inagusa watu, ni maendeleo ya vitu yanayogusa watu. Yaani yawe lengo ni kugusa watu kwa kuangalia economic of scale. Si sawa na kutumia zaidi ya tilioni moja kununua ndege ambazo uajiri watu 404 na wawezao kumudu kupanda ndege tz nzima ni watu milioni moja.
Yawezekana hicho ndiyo kiwango chako cha elimu ya uchumi hadi unasema "economic of scale" ukimaanisha "economies of scale" yaani uchumi ambao mizania yake ni faida makampuni yanapata yakizalisha kwa ufanisi.Mwendokasi inagusa watu, ni maendeleo ya vitu yanayogusa watu. Yaani yawe lengo ni kugusa watu kwa kuangalia economic of scale. Si sawa na kutumia zaidi ya tilioni moja kununua ndege ambazo uajiri watu 404 na wawezao kumudu kupanda ndege tz nzima ni watu milioni moja.
Kodi na magawio huwa na maana zinapotumika kwenye tija za maendeleo,na sio tija za wanasiasa kutafutia kura na kulaYawezekana hicho ndiyo kiwango chako cha elimu ya uchumi hadi unasema "economic of scale" ukimaanisha "economies of scale" yaani uchumi ambao mizania yake ni faida makampuni yanapata yakizalisha kwa ufanisi.
Miundo mbinu inayosababisha makampuni yazalishe kwa ufanisi ni ile inayowezesha kusafirisha malighafi kwa haraka, kuchakata hiyo malighafi kwa haraka, na kusafirisha bidhaa kwa haraka kwenda sokoni. Makampuni hayo ndiyo yenye uwezo wa kulipa kodi kubwa kwa Serikali na ikatumika kuboresha ustawi wa jamii (maendeleo ya watu). Mifano ni usafiri wa anga, treni ya mwendo kasi, barabara bora na imara, usafiri majini, nishati ya bei nafuu, nk