Zaidi ya watu(wajenzi wachache) wakichimba mashimo, nafikiri ni dawasco hamna kipya!!Interchange ya ubungo kuna nini kinaendelea?
Lile ni mzizima tower si pale igesa road njia ya sinza makaburini?Hivi jengo lefu linalojengwa pembezoni mwa barabara ya Sam Nujoma karibu na TCRA ni jengo la nini??
Sijafanikiwa kusoma bango lao.