kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,214
Hasira za nini? wewe si upeleke ndugu zako private hospital huduma zinaendelea, umesikia hata wagonjwa wanaomba serikali iwasikilize madaktari wewe unawapinga, hata mimi nadhani una wivu tu ila hutaki kukubali. Wewe hata akili ya kusoma udaktari huna ndio maana unawaonea wivu.wivu gani wewe punga bwabwa?.....hivi nani amwonee wivu daktari? akili zake kama ni za kugoma huku akishuhudia wananchi wanakufa, mtu wa aina hiyo si hana maana tu?..kwanza madaktari wenyewe hawana akili kudeserve mshahara mkubwa? kwasababu ni walevi na hawana maadili...mbona mnashindwa kutibu watu na kuwaambia waende india? mlikuwa mnasoma vitabu tofauti na ville vya madaktari wa india?..hopless teethless dogsss.