Wewe wasema ndio sera zenu Ndio Maana hamtaki mabadiliko ndani ya nyumba zenu au vyama vyenu. Akitawala fulani hakuna demokrasia lakini akiwepo Yule wa darasa la saba la zamani basi uwepo wake ni demokrasia tosha.Kwa hiyo akikaa miaka 7 ndio tutapata maendeleo?
Ngoja waje
Waraka wa Maaskofu naona hautwaacha watu salama. Watu naona matumbo yamechafuka. Chooni kutwa mara 21. Na bado mtaharisha mpaka utumbo mkubwaWewe wasema ndio sera zenu Ndio Maana hamtaki mabadiliko ndani ya nyumba zenu au vyama vyenu. Akitawala fulani hakuna demokrasia lakini akiwepo Yule wa darasa la saba la zamani basi uwepo wake ni demokrasia tosha.
Ndugu naona unawashwawashwa eeh!
Nafikiri wanalilia SIASA SAFIHatuji ila tutasema. Maendeleo ya China yameletwa na uongozi bora. Maendeleo ya Rwanda yameletwa na uongozi bora. Mwalimu alisema: "Ili tuendelee tunahitaji watu siasa safi na uongozi bora." Hakusema na katiba mpya. Maendeleo ya Tanzania yataletwa na uongozi bora. Watu wakiuunga mkono uongozi wa Awamu ya 5, kama walivyounga mkono uongozi wa awamu zote tutapata maendeleo. Tunaona itihada za Raisi wa awamu ya 5 katika kuleta uongozi bora nchini.Bial shaka hatua za kuelekea kupata maendeleo zimekwisha anza kuonekana.
Dah....Leo naona kawain kamekuchangamsha kidogo.....hata kuona huwezi [emoji13] [emoji13]Ukiona gari bovine na kila mtu anashuka, kama kuna anaelalamika basi ameacha mzito wake mle.
Rudia kusoma ulicho andika !Unawezaje kutenganisha katiba na uongozi?hivi shuleni mnasomea ujinga????
Dah....acha ujinga bana....Unawezaje kutenganisha katiba na uongozi?hivi shuleni mnasomea ujinga????