Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,274
- 102,453
Ukiwa tayari ni zuzu haitajiki tena mtu mwingine wa kukufanya uwe zuzu!!Wewe ndio unaoneka mjinga ambaye umeshindwa kuweka hata picha kama kweli anaumwa. Yuko hospital gani?. Msitake kutufanya watanzania wote mazuzu kwa siasa zenu za mwaka 1947. Huyo mtu haumwi kuna wingu anataka kulifuta kabla hajaibuka na siasa zake za makanisani