Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

Status
Not open for further replies.
Ccm ndio mngepaswa kumuonea huruma. Maana mlimkata pasipo sababu mkataka afe ka mlivyomfanya marehemu mzee wa kwenda msituni. Ukawa raha sana hutoi pesa, mafuta wala nini ila hilo nyomi sasa hadi raha.

waliomkata walijua kabisa mzee hayuko fit kivile na anatakiwa apumzike,kwani harakati za kampeni si mchezo,na lowasa anaonekana hata kwa macho kuwa yuko so weak,hata kuongea anatumia effort kubwa saa,na hii effect yake itaonekana mda si mrefu....
mtu ambae yuko terminal sick haihitaji mikiki mikiki kama ya kampeni kama bado unampenda
 
Sifa ya mama ni kuwa na huruma na kuhurumia mtu anapokuwa na shida.Hali ya mzee Lowasa inahitaji mtu mwenye huruma wa kumhurumia na kumwambia mzee kazi ngumu kama mizunguko ya kampeni haikufai kwa umri na hali yako inavyoonekana mbele za watu ukiwa jukwaani.Regina humwambii watu wananong`ona nini kila akimaliza hotuba zake? Unajifanya huoni na husikii au una roho ya kikatili isiyojali?

Hivi mama Regina Lowasa huoni kweli hali ya mzee lowasa inavyoonekana akiwa jukwaani kuwa umma unamwona ana tatizo la kiafya.Kwa nini kumwacha mmeo ajianike mbele za watu aadhirike wakati upo jamani.Si umwambie aachane na masiasa?

Makabila mengine hali aliyo nayo ile likitokea la kutokea ingawa hatuombei litokee lakini likitokea mama Regina utaitwa mwanamke mchawi au katili kuliko wanawake wote kwa kumwacha mumeo ashinde majukwwani badala ya kuwa wodini au akiugulia nyumbani ukijua ana afya mbaya ukamwacha afie mabarabarani.Na ndugu wa mume wanaweza kuja kukukimbiza na mashoka kwa kusababisha kifo cha ndugu yao.

Kwani anabeba zege huko kwenye kampeni?
 
Unataka uchukue nafasi ya Regina? Basi olewa wewe sasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom