Babkey JF-Expert Member Dec 10, 2010 4,834 3,655 Sep 20, 2012 #1 http://photos-e.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-snc6/283039_347700311991496_288539041_n.jpg
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Sep 20, 2012 #2 Haya ndiyo maendeleo(kwa mujibu wa mheshimiwa sana)
Mu-Israeli JF-Expert Member Mar 21, 2012 2,454 975 Sep 20, 2012 #3 Ndibalema said: Haya ndiyo maendeleo(kwa mujibu wa mheshimiwa sana) Click to expand... Na pia alisema kuwa 'maendeleo' hayo yanaweza kuvunja ndoa !!
Ndibalema said: Haya ndiyo maendeleo(kwa mujibu wa mheshimiwa sana) Click to expand... Na pia alisema kuwa 'maendeleo' hayo yanaweza kuvunja ndoa !!
Mu-Israeli JF-Expert Member Mar 21, 2012 2,454 975 Sep 20, 2012 #4 Ndibalema said: Haya ndiyo maendeleo(kwa mujibu wa mheshimiwa sana) Click to expand... Hebu linganisha na Maendeleo haya hapa chini...Tulitakiwa tuwe hivi (kwa utajiri wa nchi yetu...) Attachments bondeni.jpg 113.4 KB · Views: 48
Ndibalema said: Haya ndiyo maendeleo(kwa mujibu wa mheshimiwa sana) Click to expand... Hebu linganisha na Maendeleo haya hapa chini...Tulitakiwa tuwe hivi (kwa utajiri wa nchi yetu...)
SILENT WHISPER JF-Expert Member Jun 26, 2009 2,209 821 Sep 20, 2012 #5 KWA MUJIBU WA DHAIFU...NCHI AMBAYO HAINA FOLENI YA MAGARI NI MASKINI...! duuuu!
Kigogo JF-Expert Member Dec 14, 2007 20,508 6,146 Sep 20, 2012 #9 Dotworld said: Click to expand... aaah mwajabu weeee.yaani mulemule tu kama ukiwa kwenye mambo yetu yale unajichanua mwanzo kati mwisho ..asante wife material mwajabu wa savei..
Dotworld said: Click to expand... aaah mwajabu weeee.yaani mulemule tu kama ukiwa kwenye mambo yetu yale unajichanua mwanzo kati mwisho ..asante wife material mwajabu wa savei..
Mwanaukweli JF-Expert Member May 18, 2007 4,786 1,710 Sep 20, 2012 #10 Wanamsubiri Daktari toka Hospitali ya Wasso kwa ajili ya MCH clinic. Jengo linaloonekana ni zahanati ya kijiji. Ni Kijiji cha Oliipil, Wilaya ya Loliondo, Mkoa wa Arusha
Wanamsubiri Daktari toka Hospitali ya Wasso kwa ajili ya MCH clinic. Jengo linaloonekana ni zahanati ya kijiji. Ni Kijiji cha Oliipil, Wilaya ya Loliondo, Mkoa wa Arusha