Maelfu ya wananchi watoa machozi

Maelfu ya wananchi watoa machozi

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Mgombea wa Urais kupitia CCM, Dr John Pombe Joseph Magufuli amezidi kupata wakati mgumu baada ya kila mwanainch kutaka kumshika mkono katika kila eneo analopita kutokana na ubora wake na namna alivyokaribu na wanainchi, wengine hutoa machozi ya furaha wanapomuona Magufuli, kwa kusema kweli huyu ni Chaguo la Mungu.
Umati wa wakazi wa manispaa ya Bukoba wakiwa wamefurika katika viwanja vya Gymkhana kumsikiliza mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli .

Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo kutoa elimu bure
Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa ubora wake
Maelfu ya umati ukimsikiliza Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
 
Nafikiri unaweza tzama twitter zake,pia yeye ndiye mfuasi wa kwanza wa Makamba katika twitter na makamba hivyo hivyo.

hata utafiti wa CCM walipewa wao wakauita utafiti wa ndani.
mimi si mpenzi wa vyama laniki nachukua kubaka taaluma ya utafiti

attachment.php

attachment.php


Kwa mf kama yuko fair hii post kwa nini ali retweet ,ina faida gani?
attachment.php

View attachment 289812View attachment 289816

............................
 
Unalia kisa hujamshika mkono mgombea urais?jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!


Nafikiri unaweza tzama twitter zake,pia yeye ndiye mfuasi wa kwanza wa Makamba katika twitter na makamba hivyo hivyo.

hata utafiti wa CCM walipewa wao wakauita utafiti wa ndani.
mimi si mpenzi wa vyama laniki nachukua kubaka taaluma ya utafiti

attachment.php

attachment.php


Kwa mf kama yuko fair hii post kwa nini ali retweet ,ina faida gani?
attachment.php

View attachment 289812View attachment 289816

................
 
Mbona watu wote wamevaa kijani?

Ndio mnaowaandaa na kuwazomba na kuwalipa wekundu.

Kuna ulaji ccm wakati wa kampeni.

Kura zote wanampa Lowassa.

Imethibitishwa na kulialia kwa POMBE kuwa wanamuunga mkono papo hapo kumbe ni upinzani.
 
Najua walilia na kutokwa na machozi kutokana na ugumu wa maisha, kweli haya ndiyo maisha bora kwa kila m tz
 

Attachments

  • 12003892_940578789348292_1825654936944630501_n.jpg
    12003892_940578789348292_1825654936944630501_n.jpg
    47.8 KB · Views: 894
Hao sio wakazi wa hapa bukoba,ni wakazi wa ngara,chato,izimbya,ibwera,nshamba,nk walioletwa na zaidi ya lori 60,na mabus kadha wa kadha,mji ulikuwa umevamiwa na wageni,tunamshukuru MUNGU wameondoka tunaendelea na mapambano mpaka maccm yang'oke,bukoba tunakamsemo ketu ka kiukawaukawa kananasema,"LOWASA GUMA ABAKAZI NA BASHAIJA TULIMU" Ikiwa na maana kwamba,lowasa usihofu wanaume na akina mama wa bkb wakonawe
 
Nshomile wa bukoba wanavyopenda elimu,uwaambie elimu bure mpaka chuo kikuu wachague elimu ya form 4??!!! Bojo bojo,nshomile anafikilia zaidi digrii kuliko hicho ki form 4
 
Back
Top Bottom